Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

Hii ilinikost 2015 nikaenda kukopa pesa za riba bila kutaka[emoji16][emoji16].

Nimekaa zangu tarehe hazieleweki,nimeshampanga mama ntilie anihifadhi kwa siku 5 zilizobaki nitamalizana naye,ghafla sms"bro niko tazara nakuja kwako"

Nilishtuka lakini nikajiba ujasiri na kwenda kuuvagaa mkenge wa deni,ili tu nimpokee ndugu yangu huyu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama unaweza kumuacha ndugu yako stend,,itakuwa labda majirani zao wa huko Mbwinde
Ndugu yako huwezi muacha stand na ukiona unashindwa kumwambia ukweli wa maisha yako ujue hapo kuna utata kwenye undugu wenu
Me nilishawah waza kumzimia sim ndugu yangu ila niliwaza sana nafsi ikanisuta nikaenda mpokea ubungo ila nikamwambia amezingua

Saiz ndugu yangu katoboa kwenye mambo ya kilimo yani hazipiti week mbili sijatumiwa vifurushi vya mazaga yani ndani mchele kibao hadi natamani kuuza

Amebaki kusema tu nilimsaidia kipindi ana shida hana kitu hawezi kunisahau, nikicheki msaada niliompa ni kufikia gheto kwangu tu akakaa wiki2 ila anayorudisha kwangu mpaka nimeanza kumuogopa sasa [emoji38][emoji28]
 
My late bibi alikuwaananiambia hivi,usije mtreat mgeni vibaya hata siku Moja, jitahidi mtendee Wema,maana mgeni ni kama mawingu ya mvua,yatatandaa weee ila mvua ikinyesha na yenyewe yatapotea.........unaona Sasa unajilia mchele supa,sijui ungemzimia simu ingekuwaje maskini
 
Mim kuna dada sasa hivi miezi sita nimemuambia apange kwakweli
 
Ndugu yako huwezi muacha stand na ukiona unashindwa kumwambia ukweli wa maisha yako ujue hapo kuna utata kwenye undugu wenu
Me nilishawah waza kumzimia sim ndugu yangu ila niliwaza sana nafsi ikanisuta nikaenda mpokea ubungo ila nikamwambia amezingua

Saiz ndugu yangu katoboa kwenye mambo ya kilimo yani hazipiti week mbili sijatumiwa vifurushi vya mazaga yani ndani mchele kibao hadi natamani kuuza

Amebaki kusema tu nilimsaidia kipindi ana shida hana kitu hawezi kunisahau, nikicheki msaada niliompa ni kufikia gheto kwangu tu akakaa wiki2 ila anayorudisha kwangu mpaka nimeanza kumuogopa sasa [emoji38][emoji28]
Watu wa mikoani huwa hatuji mikono mitupu
 
Back
Top Bottom