Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.

Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover

Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k

Dar mbona kila kitu tabu?

Muhimu kushiba...
 
Ng'ombe na mbuzi wa Iringa wamekomaa sana, supu zao hazina ladha. Hao wa supu ya maharage watakuja kujibu.
 
Back
Top Bottom