Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
😂 😂 😂Watu wa Igunga bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Watu wa Igunga bwana
Ni ugumu wa maisha aisee, unajua kila kitu ni ghali huku darVijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
Nasikia ina vitamin Q. Pia Cow skin ni very high in collagenDar is overrated
Eti wanakunywa supu ya ngozi
Sababu maharage ni nafuu kuliko nyama au hili nalo unataka ulete siasa.Alichoongea nisawa mkuu, Ile ni animal protinna maharage Yana plant protein ambazo kisingi zinaendana, ushajiuliza ratiba za boarding kwanini walinprefer maharage na Nyama kama mlo wa wanafunzi?
Sasa naelewa kwa nini Wanasema Elimu na Exposure ni mambo muhimu sana.Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
Hivi ni wapi kitaalamu supu inakata mning'inio? Ni mazoea tu.Hangover?
Laini kama nyama zake[emoji39]Ukiingia uswahili unakuta supu ya mapupu