Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

Kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu ndo jinsi unazidi kuwa mbunifu, kuna muda unakosa dawa ya meno unatumia sabuni unafanya ndo kama whitedent/colgate.
 
Huko DSM kuna dagaa wa nyama hivyo sishangai hilo la supu ya maharage. ..
 
Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.

Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover

Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k

Dar mbona kila kitu tabu?
Dar wana maisha magumu! Ndio wanaongoza kwa kulialia kwamba vyakula vimepanda bei!
 
Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.

Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover

Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k

Dar mbona kila kitu tabu?
Unajua maana ya hangover? Ukiwa na hangover manake sugaring inashuka. Nadhani utaelewa kwann walevi wengi asubuhi wanakunywa pepsi
 
Back
Top Bottom