Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.

Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover

Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k

Dar mbona kila kitu tabu?
Inakata njaa tu.Hata hivyo supu za samaki,nyama au vitoweo vingine kwa Dar ni changamoto.Ni za kuwa makini unapoenda kupata kama huna uwezo wa kwenda kwenye migahawa,hoteli au sehemu zinazoeleweka.Ila supu ya mchanganyiko wa maharage na mahindi ni kutafuta shibe tu.
 
Back
Top Bottom