DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Je supu ya mahage inafaa kwa nyie wazee wa maji ya DHAHABU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je supu ya mahage inafaa kwa nyie wazee wa maji ya DHAHABU?
Baada ya kupiga vitu inafaa sana kupunguza sumu na kileviJe supu ya mahage inafaa kwa nyie wazee wa maji ya DHAHABU?
😁😁 Sema maji ya DHAHABU ni starehe ya gharama Sana Kaka
Inakata njaa tu.Hata hivyo supu za samaki,nyama au vitoweo vingine kwa Dar ni changamoto.Ni za kuwa makini unapoenda kupata kama huna uwezo wa kwenda kwenye migahawa,hoteli au sehemu zinazoeleweka.Ila supu ya mchanganyiko wa maharage na mahindi ni kutafuta shibe tu.Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
Starehe hata hivyo ni gharama nilikuwa napiga hesabu leo mchana.. Toka J3 nimeteketeza pesa ambayo siwezi kuisema hapa [emoji2827][emoji16][emoji16] Sema maji ya DHAHABU ni starehe ya gharama Sana Kaka
😁😁😁🙌🙌 Inafikirisha Sana.Starehe hata hivyo ni gharama nilikuwa napiga hesabu leo mchana.. Toka J3 nimeteketeza pesa ambayo siwezi kuisema hapa [emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni sana 😂Haha 😂