I don't careChiwawa jifunze kusoma na kuelewa,nilikua nasoma sekondary..
Banza alikua mwanamuziki maarufu Tanzania,.wengine walikua wafanyakazi wa barbershop..
Kwanini huna akili??
Halafu ukichunguza mliopanga humo wote wakuja kutoka mikoani.Mbona mikoani watu wanaishi kwa ustaarabu, Dar yaani majitu majinga na mazembe kweli kweli. Siongei kutafuta sifa bali nasema ukweli.
Kushindwa kusoma na kuelewa ndio kunafanya nijue wewe punguani akili kisoda..nani kasema tulikua tunakula?nani kasema wana Doo?nani kasema wanaingiza doo 24/7??I don't care
Sasa unataka kurudi ukakae kwa wenye pesa ukila na kusikiliza umbea wao, wakati wao doo I naingia tu 24/7?
Kuambiwa ukweli ndo kukosa akili?
Hawa watu wa mikoani wanashida sana. Sasa kama unaona sehemu haijufai si urudi ulipotoka?Nyie wa mikoani ndo wazembe, hapo mlipopanga uliona kuna mdaslama?
Wana dar es Salam tuko kwenye nyumba za urithi tumetulia..!!
Pambaneni wa kuja kivyenu huko..!!
Vipi ulikua unakalia kigogo au kund uchi? ๐น
Kwa nini uwe triggered kama siku maanisha?Kushindwa kusoma na kuelewa ndio kunafanya nijue wewe punguani akili kisoda..nani kasema tulikua tunakula?nani kasema wana Doo?nani kasema wanaingiza doo 24/7??
Why huwezi kuelewa hata sentence rahisi?stupid right?
Ok.๐Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar..
Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama.
Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80.
Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house akaniambia kuwa after 3 days atakuwa kuwa mchezo.
Oya, niliyo yaona nilijua mie,
Kwanza chumba Hakika pigwa finishing inayo eleweka, mlango nimewekeza wa bodi(sio mbao), sakafu haijawekewa PVC lile zege la chini lina pitisha maji yanakuja juu,
Mazingira sasa, aisee, uchafu, chooni pachafu, na tayari nilikuwa nimesha lipa miezi 6, nikasema huu ni usenge.
Watanzania ni sio wastaarabu kabisa, ni wajinga wa fikra, hawana haya, hawana aibu kabisa.
Ile nyumba nili ishi mwezi mmoja tu, maana niliuguwa fungus na ikawa kila siku kabla sijaoga lazima nifanye usafi yakinifu...
Nikajisemea kabisa ni kheri nimetafuta self contained au apartment ya laki mbili kuliko kuishi maisha ya taabu namna hii.
Mbona mikoani watu wanaishi kwa ustaarabu, Dar yaani majitu majinga na mazembe kweli kweli. Siongei kutafuta sifa bali nasema ukweli.
Badilikeni, Saizi tembea hata mtaani Dar ujionee uchafu, na wanafanya fanya usafi kwa ajili ya El Nino ila baada ya siku kadhaa hali inarudi pale pale tu.
Watu wa Dar ni wazembe sana, uchafu kupindukia.
Ulipozaliwa na kukulia wewe itakua sehemu ya ajabu kwekweli maneno yako yanaonesha..Ila sio mbaya bado una nafasi chiwawa..Kwa nini uwe triggered kama siku maanisha?
Acha kuwa mropokaji wa vitu vitakvyo kufanya tuonekane mtu wa aina gani.
Na ilivyo shida yenu watu wa dar huwa hamjifichi, unakuta jitu zima limevaa pensi nalo linakupa stori eti, nimekaa kijiwe flani n diamond kabla haja toka kimziki..
Like wth? Sasa inakusaidia nini?
Tajiri wagu nawe hukopeshi?Nyie wa mikoani ndo wazembe, hapo mlipopanga uliona kuna mdaslama?
Wana dar es Salam tuko kwenye nyumba za urithi tumetulia..!!
Pambaneni wa kuja kivyenu huko..!!
Vipi ulikua unakalia kigogo au kund uchi? ๐น
natamani kuweka huyo ndege kwenye avatar yako lakini nashindwa aise ๐Kwanini unapenda hiyo Nyani ndugu mdau?
Haya endelea kukaa vibarazaniUlipozaliwa na kukulia wewe itakua sehemu ya ajabu kwekweli maneno yako yanaonesha..Ila sio mbaya bado una nafasi chiwawa..
Na wapi nimesema mimi mtu wa dar?mimi msukuma wa shinyanga nimekuja mjini na gari la mbuzi..
Mimi simo.Huyo mshamba hana lolote, amejaliwa makebo makubwa tu
Tajiri wa kikinga huyo anakaribia kumiliki ghorofa Kariakoo.
Gorofa?Tajiri wa kikinga huyo anakaribia kumiliki ghorofa Kariakoo.
๐น๐น๐นTajiri wagu nawe hukopeshi?
Una maneno ya kidaslama sithubu kufanya ugomvi na wewe ..๐