Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

Kila siku mnaisimanga Dar lakini hamuishi kuja sijui mnafuata nini? Yaani chumba elfu 60 halafu utegemee ustarabu? Kapange sehemu za kueleweka ulipe laki 2 kuendelea kama utapata hizo shida
Sasa kwanini kusiwe na ustaarabu na wewe mjinga uone sawa tu? Kwahiyo una halalisha ujinga?
 
Mzee umeishi buguruni kwa mnyamani, ndo unai'generalize Dsm kuwa ni mbovu! Nyie ndo mnasumbuaga madalali, 60K chumba kiwe karibu na barabara. Rudi bush mzee. Dsm isn't for a beginners
Acha kuongea as if kila mtu hajui maisha boya wewe, Dar kuna akili za machoko tu, walio timamu ni wa kuhesabu
 
Unataka USAFI kwenye chumba cha 60k dogo!?
 
Tanzania ni Dar, ukitaka sehemu safi unapata ukitaka chafu pia unapata, kipi Dar utakosa? Wakuja mnazingua sana
 
ukitaka kujua maisha ni mzigo ni pale utakapotaka kujishughulisha na shida za watu wengine wakati zako zinakushinda....
wewe kodi ya unapotamani ilikushinda ndo maana mpaka leo hujapona trauma alizokupa mzee wa mjini..
tupo hapa ku-release stress kama wengine,, huna cha kuwasaidia hao watu wa Dar na wao wala hawana cha kukusaidia...
tafuta hela uishi unapotaka, Dunia haitosimama kwa sababu ya shida zako za kujitakia......
 
This is nonsense!
Hakuna hoja hapo bali ume bwabwaja tu
 
ukitaka kujua maisha ni mzigo ni pale utakapotaka kujishughulisha na shida za watu wengine wakati zako zinakushinda....
wewe kodi ya unapotamani ilikushinda ndo maana mpaka leo hujapona trauma alizokupa mzee wa mjini..
tupo hapa ku-release stress kama wengine,, huna cha kuwasaidia hao watu wa Dar na wao wala hawana cha kukusaidia...
tafuta hela uishi unapotaka, Dunia haitosimama kwa sababu ya shida zako za kujitakia......
Uzi ufungwe
 
Kwani usafi unajali chumba cha bei gani?
Kwa scenario ya mazingira ya nyumba uliyopanga jibu ni NDIO...
Nenda kwenye hiyo apartment ya 200k uone kama mazingira yatafanana.

Umaskini unasababisha kutokujali vitu and finally uchafu.
 
Ndo ni liko kwa sasa baada ya kukaa mwezi mmoja tu ile nyumba na kuacha miezi yote mingine
 
De gunner huchok
JF VAR CHECK

Tuone kama kweli huyu ni De gunner.

JF VAR CHECK

Tuone kama kweli huyu ni De gunner.

Kumbe leo VAR inatumika bwana🤣🤣
 
Back
Top Bottom