Maisha yake ya kuunga vipi wakati kawapangisha nyie mabwege mliokuja town kwa fuso la ng’ombe 😹😹😹Si ndo uzembe wenyewe nao kuzungumzia mimi, pale nilipo panga mwenye nyumba alikuwa anaishi hapo hapo, so akawa anaongea vyumba na maisha yake ya kuunga Unga tu
Chiwawa sio wa kumsikiza, kwanza huko mikoani kwao wanakunya maporini hawanawi..!!Hawa watu wa mikoani wanashida sana. Sasa kama unaona sehemu haijufai si urudi ulipotoka?
Njoo nikukatie uongezee lako 😹Huyo mshamba hana lolote, amejaliwa makebo makubwa tu
Huyu mshamba ana Xmas 2 basi anajifanya anaijuaa dar kuliko wenyeji..!! 😹Mimi simo.
Ugomvi na tajri mtoto au boss lady utauweza?
Wee kweli mshamba, vipi leo huendi kawe kuogelea? Mida ndo hii wavuvi washaondoka..!!
😹😹😹 Mwambie huyo..!!Tajiri wa kikinga huyo anakaribia kumiliki ghorofa Kariakoo.
😹😹😹 Mi winga kweli tena choka mbaya, njoo basi uniungishe kijora ukivae kesho kanisani..!!Gorofa?
Huyu anachonjsifia sasa ni kuwa winga tu, umri unasogea na anaona kabisa hana future kinacho baki ni kutumia jf kama sehemu ya kutema nyongo kwa kuchezea ujana wake.
Anashindia afiya(ya jero) na mihogo ya buku daily... Anakesha kuzurura na vijora toka asubuhi mpaka giza.
Ukiwa na Pesa yako ya kueleweka Dar es Salaam utaii enjoy sana.Sawa sawa ila kupanga uswazi ndo basi tena
Ha ha ha hio post nikiiona Insta huwa nacheka sana.Umepanga chumba cha elfu 60 afu unalalamika maji yanaingia ndani kwako, ulitaka yaende wapi? 😹