Sasa kwanini kusiwe na ustaarabu na wewe mjinga uone sawa tu? Kwahiyo una halalisha ujinga?Kila siku mnaisimanga Dar lakini hamuishi kuja sijui mnafuata nini? Yaani chumba elfu 60 halafu utegemee ustarabu? Kapange sehemu za kueleweka ulipe laki 2 kuendelea kama utapata hizo shida
Acha kuongea as if kila mtu hajui maisha boya wewe, Dar kuna akili za machoko tu, walio timamu ni wa kuhesabuMzee umeishi buguruni kwa mnyamani, ndo unai'generalize Dsm kuwa ni mbovu! Nyie ndo mnasumbuaga madalali, 60K chumba kiwe karibu na barabara. Rudi bush mzee. Dsm isn't for a beginners
This is nonsense!ukitaka kujua maisha ni mzigo ni pale utakapotaka kujishughulisha na shida za watu wengine wakati zako zinakushinda....
wewe kodi ya unapotamani ilikushinda ndo maana mpaka leo hujapona trauma alizokupa mzee wa mjini..
tupo hapa ku-release stress kama wengine,, huna cha kuwasaidia hao watu wa Dar na wao wala hawana cha kukusaidia...
tafuta hela uishi unapotaka, Dunia haitosimama kwa sababu ya shida zako za kujitakia......
acha kulialia na kulalama kwa vitu nonesense ili watu wasibwabwaje....This is nonsense!
Hakuna hoja hapo bali ume bwabwaja tu
huo ni ukweli wako wewe hauwahusu,,, ustaarabu binafsi haulazimishwi, tafuta panaporandana na wewe..Silii bali nasema ukweli Mchungu watu wastaarabike
Uzi ufungweukitaka kujua maisha ni mzigo ni pale utakapotaka kujishughulisha na shida za watu wengine wakati zako zinakushinda....
wewe kodi ya unapotamani ilikushinda ndo maana mpaka leo hujapona trauma alizokupa mzee wa mjini..
tupo hapa ku-release stress kama wengine,, huna cha kuwasaidia hao watu wa Dar na wao wala hawana cha kukusaidia...
tafuta hela uishi unapotaka, Dunia haitosimama kwa sababu ya shida zako za kujitakia......
Kalya mpaliNywanokwbe
Sasa mbona ukilizwa!Mafala ni nyie watu wa mjini msio na akili na nguvu za kufanya kazi
Kwa scenario ya mazingira ya nyumba uliyopanga jibu ni NDIO...Kwani usafi unajali chumba cha bei gani?
Ndo ni liko kwa sasa baada ya kukaa mwezi mmoja tu ile nyumba na kuacha miezi yote mingineKwa scenario ya mazingira ya nyumba uliyopanga jibu ni NDIO...
Nenda kwenye hiyo apartment ya 200k uone kama mazingira yatafanana.
Umaskini unasababisha kutokujali vitu and finally uchafu.
JF VAR CHECKDe gunner huchok
Kumbe leo VAR inatumika bwana🤣🤣JF VAR CHECK
Tuone kama kweli huyu ni De gunner.
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...
Wazawa ni mazombie..
Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..
Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.
Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..
Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..
Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda...
- Gunner11
- dar watu wa dar
- Replies: 172
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko