Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
YeahKwasababu football is real. Sio scam.
Mi mbona siupendi ata kidogo? Wapenda mipira ni kama wavuta sigara tu, wanadhani kila mtu anaienjoy mimoshi yao.Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Mpira siyo maarufu sana kila sehemu. Ni Tanzania tu (au pengine Afrika?) utakuta watu wanazungumzia mpira kila saa hata wanapokuwa kazini.Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Sio kweli, umefanya utafiti gani? ni asilimia ngapi ya wanawake wanapenda huo mpira ??Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Ni kama model za magariYaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Kila kazi ikikubali kuzipitisha ajenda za shetani huwa ni mbaya Kuna wakati mpira wachezaji huko ulaya huwa wanavalishwa kitambaa cha kuunga mkono upindeMpira, mziki, dance, uchoraji, uvaaji hivi vitu kwa uelewa wako vina tatizo lolote jibu nihakuna tatizo, hivyo mpira hauna shida ni mazoezi na kazi za watu
Yeah upo sahihi pia hakuna ubaya kwenye muziki ila unaweza kuwa mbaya watu wanapoimba matusi na sio kuelimishana au burudani pekee, Kwahiyo mpira hauna tatizo ni vile baadhi ya watu wanavyo fanya wenyeweKila kazi ikikubali kuzipitisha ajenda za shetani huwa ni mbaya Kuna wakati mpira wachezaji huko ulaya huwa wanavalishwa kitambaa cha kuunga mkono upinde
Sidhani kama kuna ukweli. Ungeeleza jinsi kila kiungo cha binadamu kinavyopenda kujionesha kinawajibika kadiri ya malengo ya uwepo wake ningekuelewa kiasi.Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.