Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!

Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
 
Ukifuatilia hizi dini za michongo utaambiwa hata kuja hapa Jamii Forum kuchangia hoja ni haram, watakuambia uishi kama vile mnyama asiyejitambua ukiendeshwa na viongozi wajanja wajanja wa hizo dini. Never fall victim to these bloody religions
 
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!

Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Mi mbona siupendi ata kidogo? Wapenda mipira ni kama wavuta sigara tu, wanadhani kila mtu anaienjoy mimoshi yao.
 
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!

Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Mpira siyo maarufu sana kila sehemu. Ni Tanzania tu (au pengine Afrika?) utakuta watu wanazungumzia mpira kila saa hata wanapokuwa kazini.
 
Mimi siuelewagi hata ila Yanga naipenda kwakuwa nakubali sana rangi ya kijani na njano
 
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!

Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Sio kweli, umefanya utafiti gani? ni asilimia ngapi ya wanawake wanapenda huo mpira ??
 
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!

Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Ni kama model za magari
 
Mimi sijui mpira, sijawahi cheza, sijawahi fuatilia, unanizungumziaje?

Mpira unafundishwa, mchezo wowote unafundishwa, ni kwamba tu baadhi ya michezo inakuwa maarufu zaidi kwasababu ina sheria rahisi....

Mpira uliletwa na muingereza Tanganyika, ukawa maarufu
 
Mpira, mziki, dance, uchoraji, uvaaji hivi vitu kwa uelewa wako vina tatizo lolote jibu nihakuna tatizo, hivyo mpira hauna shida ni mazoezi na kazi za watu
 
Kila kazi ikikubali kuzipitisha ajenda za shetani huwa ni mbaya Kuna wakati mpira wachezaji huko ulaya huwa wanavalishwa kitambaa cha kuunga mkono upinde
 
Yeah upo sahihi pia hakuna ubaya kwenye muziki ila unaweza kuwa mbaya watu wanapoimba matusi na sio kuelimishana au burudani pekee, Kwahiyo mpira hauna tatizo ni vile baadhi ya watu wanavyo fanya wenyewe
 
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!

Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Sidhani kama kuna ukweli. Ungeeleza jinsi kila kiungo cha binadamu kinavyopenda kujionesha kinawajibika kadiri ya malengo ya uwepo wake ningekuelewa kiasi.
 
Umeleta hoja kubwa kwa jamii wabishi kwa mizaaa na yenye akili ndogo.

Hoja inataka majibu ya kibayologia na ya kiimani..ila huku waafrika ni watupu tupu
 
Back
Top Bottom