Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na kudai wanahitaji kujengewa msikiti Ikulu!

Mimi nilifikiri wangepinga ujenzi wa nyumba yoyote ya Ibada ikulu ili pabaki kuwa nyutro tu kwa dini zote badala na wao kutaka msikiti hapo. Kinachofuata na Wahindu nao wanaweza kudai kujengwe ikulu la Krishna ikulu ukizingatia matajiri wake wengi ni wachangiaji wakubwa wa kodi ya serikali na shughuli za kisiasa Kenya.
20250705_143031.jpg
20250705_143049.jpg
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya Uarabu na uislamu? Hivi ni sahihi kwa mmasai wa Simanjiro ku slimu na kujiona yeye nikama mwana mfalme wa Saudia Mohamed bin Salman?
Ufafanuzi tafadhali...
 
nimeangalia kenya muslim ni ~10% ya population vs Christians > 85%, iweje 10% watake haki sawa ya uwakilishi na > 85% ? i mean kenya ni defacto a Christian nation na muslim hawana haki yoyote ya kudai msikiti ujengwe ikulu isipokuwa maeneo yao ambayo wao ni majority …
 
Nafasi nyeti za Usalama Kenya zimeshikiliwa na Waislamu.
 
ndiyo hivyo hilo nalijua, islamization inaendelea hata huko polepole kama tanzagiza, hata hiyo 10% ya muslims ni sababu ya somalis ambao wameishika kenya kuanzia kipindi cha pirates wamenunua nairobi karibia yote, najua mnweza kusema wasomali ni waafrika pia lkn wao (wasomali) ni wasomali na wao hawajioni hivyo kama sisi tuwaonavyo, kwa kawaida kenya muslim ~5% tu wako mombasa na lamu ila wasomali wameingia kila mahali siyo kama tanzagia tuko salama, la hasha maeneo yetu ya nyanda za juu kusini ambako kihistoria ni Christian yako hatarini, …
 
yako hatarini ki vipi ??
 
yako hatarini ki vipi ??

kenya miaka 80 mpaka 90 mwishoni ilikuwa Christian leo hii muslims wameshika karibia sehemu zote muhimu kuanzia real estaste, mashamba, small and big businesses mpaka sasa ndani ya serikali na wengi wao ni wasomali, lkn wasomali ni wasomali na hawajioni na kujichulia kama vile sisi tuwaonavyo kwamba ni “wenzetu” , msomali hata kama kazaliwa kisarawe hawezi kukuona wewe ni mwenzake labda kama kukutumia kukamilisha mambo yake lkn mwisho wa siku ni msomali tu …
 
Mbona unatupakazia wasomali ?? Mbona tuko poa tu na tunatoa misaada mingi tu kwa masikini wa kila kabila , au huoni ??
 
nimeangalia kenya muslim ni ~10% ya population vs Christians > 85%, iweje 10% watake haki sawa ya uwakilishi na > 85% ? i mean kenya ni defacto a Christian nation na muslim hawana haki yoyote ya kudai msikiti ujengwe ikulu isipokuwa maeneo yao ambayo wao ni majority …
Kumbuka hiyo dini inaenezwa kwa upanga,wanatafuta chokochoko ili wachinjane waeneze hiyo dini (mila na desturi za waarabu)
 
Ulishawekewa upanga usilimu ? kama bado nakuja na jambia langu kaa chonjo
 
kenya miaka 80 mpaka 90 mwishoni ilikuwa Christian leo hii muslims wameshika karibia sehemu zote muhimu kuanzia real estaste, mashamba, small and big businesses mpaka sasa ndani ya serikali na wengi wao ni wasomali, lkn wasomali ni wasomali na hawajioni na kujichulia kama vile sisi tuwaonavyo kwamba ni “wenzetu” , msomali hata kama kazaliwa kisarawe hawezi kukuona wewe ni mwenzake labda kama kukutumia kukamilisha mambo yake lkn mwisho wa siku ni msomali tu …
Nzega huwa siwaelew kbsa ilikuwaje Bashe awe mbunge wao
 
kenya miaka 80 mpaka 90 mwishoni ilikuwa Christian leo hii muslims wameshika karibia sehemu zote muhimu kuanzia real estaste, mashamba, small and big businesses mpaka sasa ndani ya serikali na wengi wao ni wasomali, lkn wasomali ni wasomali na hawajioni na kujichulia kama vile sisi tuwaonavyo kwamba ni “wenzetu” , msomali hata kama kazaliwa kisarawe hawezi kukuona wewe ni mwenzake labda kama kukutumia kukamilisha mambo yake lkn mwisho wa siku ni msomali tu …
Msikiti mkuu nairobi upo kabla kenya haijapata uhuru, wakati nairobi haina maghorofa
Kwamba Aden rage hajioni kama mtanzania bali msomali,umejaza maji tu kichwani
 
Back
Top Bottom