Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

Hivi kuna uhusiano gani kati ya Uarabu na uislamu? Hivi ni sahihi kwa mmasai wa Simanjiro ku slimu na kujiona yeye nikama mwana mfalme wa Saudia Mohamed bin Salman?
Ufafanuzi tafadhali...
Waongezee nahili Kuna uhusiano gani kati ya mavazi ya Yesu na waarabu, maana sitaki kukudhania vibaya.
 
Nzega huwa siwaelew kbsa ilikuwaje Bashe awe mbunge wao
Bashe alikatwa govi nzega,kajua kutia nzega,wadogo zake wamezaliwa na kuanza kutiana nzega, wazazi wake wamezikwa nzega,huko somalia hajui hata kwao wapi
 
Uo niubaguzi wakidini Kama Ni utawala Bora haki nisawa kwawote
 
Naona sasa wanaonekana wabaya, sasa hiyo siserikali ya wote nao wametumia haki yao.
 
Kuna Mhindi mmoja huko India alikua anahojiwa kuhusu Uislam kasema hivi, "nchi yeyote ikiwa na Waislam walau 30% of their population, that country is on danger
 
Msikiti mkuu nairobi upo kabla kenya haijapata uhuru, wakati nairobi haina maghorofa
Kwamba Aden rage hajioni kama mtanzania bali msomali,umejaza maji tu kichwani

wewe ndiyo unayemsemea huyo rage, ofcourse atakwambia hivyo kwamba ulitaka akwambiaje vinginevyo wakati anataka kukutumia kama daraja? ulitaka akuamshe usingizini, halafu? siku zote minority wanaweza tu kuongoza na kutawala majority kwa minority kuwazidi ujanja majority, watanzagiza wengi wanaamini kabisa kwamba dewji ni “mwenzao” lkn dewji kama vile alivyokuwa manji ni wahindi na wao wanajiona hivyo, isitoshe kabla ya Christianity kuingia kenya hakukuwa hata na mji wa nairobi, nairobi imejengwa from scratch na english monarchy …
 
Wako sawa, haki sawa kwa wote alisema Lipumba na cuf yao.
 
Waliowahi walipoweka kanuni za Separation of Religion and State mliwaona wajinga?
 
Sikubaliani na alichokifanya Ruto, lakini pia siwaelewi hawa masheikh. Huwa huwaoni wakipaza sauti kupinga uonevu au dhuluma zinazofanywa na serikali dhidi ya wananchi wa kawaida nchini Kenya. Lakini mara tu suala linapohusisha kujengwa kwa Kanisa, ghafla wanakuwa wakali kama nyuki. Hii inaleta maswali kuhusu vipaumbele na msimamo wao katika masuala ya kijamii.
 
Acha ubaguzi mkuu.... Wasomali ni wakenya pia.
 
Kanisa lilikuwepo lakin miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…