Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

Viongozi wa hamas wamekalia utajiri wa mabilioni ya dollar huko Qatar. Kwanini wasitoe msaada?!
Isitoshe wao ndio wamesababisha haya maafa
 
Viongozi wa hamas wamekalia utajiri wa mabilioni ya dollar huko Qatar. Kwanini wasitoe msaada?!
Isitoshe wao ndio wamesababisha haya maafa
Wapitishie wapi hata kama wanayo?Hiyo ni mbinu ya Israel kumuumiza adui.Ni sehemu ya vita.
-kupiga na kuua,
-kupiga au kuua uwapendao,
-kukutesa kiakili,
-kukufanya usipate chakula,
-kukutenga na uwatakao/uwapendao nk.
Na vita iendelee.
 
Viongozi wa hamas wamekalia utajiri wa mabilioni ya dollar huko Qatar. Kwanini wasitoe msaada?!
Isitoshe wao ndio wamesababisha haya maafa
Elewa kuwa viongozi wa Hamas walio nje ya nchi ni sehemu ya uongozi wa Hamas na hakuna fisadi anayetafuta utajiri binafsi.Walio nje wanaitwa viongozi wa kisiasa na walio ndani ni sehemu ya wapambanaji wa kivitendo.
Tumesema kabla kuwa hawa jamaa wana umoja ambao ni mfano kwa nchi zote duniani hasa za kiislamu.
 
Habari nzuri
Wewe dada Faiza napenda unazipata nyeti mapema.
Kwa kweli ushindi uko karibu.Na hizbullah wakati wowote wakianza kuzishambulia zile zinazopitia Gibraltar basi kazi itakuwa imeisha.
Nimesoma habari ya majeruhi wa IDF kwa kweli wako hali mbaya sana.Askari wako karibu kukimbia vita.Na hiyo ilikuwa ni Gaza tu.Watapata wapi uwezo wa kuingia Lebanon huku Syria na Iran nazo ziko mguu sawa kurusha vya kwao wenyewe.
Faiza ni mwanaume si mwanamke.
 
Ukiwa na akili kama za kuku basi utaona mambo kwa mtazamo wako.
Wenye akili nzuri wako mpaka mitaani Marekani.Wanaona Hamas hana makosa na si ubinadamu kuzuia chakula kwa watu milioni kadhaa au kuvunja mahospitali kwa sababu yoyote iwayo.
Hao wanaondamana wote soon watarudishwa makwao kwanini wasifanye maandamano huko middle east au kremlini?
Halafu huko Mahospitali ndo wanakojifichia magaidi?

View: https://twitter.com/Osint613/status/1752223256277356655?t=of06BhJ5lqH7_fcgJxl9zg&s=19
Hawa wote walihusika octeber 7 na netanyahu aliapa wote walioshiriki october 7 lazima wawe maiti

View: https://twitter.com/Osint613/status/1752314734286680355?t=6g3FlWjHkEVrWqNb8Q9nyw&s=19
 
Elewa kuwa viongozi wa Hamas walio nje ya nchi ni sehemu ya uongozi wa Hamas na hakuna fisadi anayetafuta utajiri binafsi.Walio nje wanaitwa viongozi wa kisiasa na walio ndani ni sehemu ya wapambanaji wa kivitendo.
Tumesema kabla kuwa hawa jamaa wana umoja ambao ni mfano kwa nchi zote duniani hasa za kiislamu.
Waende gaza wakapigae kama wenzao au hawataki kufanya ngono na bikra huko peponi?
 
Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida.

Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo kisipelekwe tena.

Taarifa waliyoitoa kwamba kuna baadhi ya wafanyakazi wa shirika la umoja wa mataifa la UNRWA walishiriki katika shambulio la oktoba 7 limepokelewa na wale ambao wanapendelea upande wa Israel na kujitoa mmoja mmoja kuchangia shirika hilo.

Kuzidi kupungua kwa misaada katika kipindi wapalestina hawawezi kujitafutia wenyewe kumesababisha watu waanze kula majani na kunywa maji machafu.

Baada ya kushindwa kwa vita vya ana kwa ana uamuzi wa mataifa hayo umepokelewa kwa furaha na Israel ikiona hilo litasaidia katika kuwashinda wapalestina na kuwaangamiza kabisa.

‘We are dying slowly:’ Palestinians are eating grass and drinking polluted water as famine looms across Gaza

oy tel aviv kushaanza kuwa na njaa kali pia ila vilaza hawatokaa kuelewa hilo...
 
Back
Top Bottom