Watu wa jf wanapenda umbea kweli

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Yaan humu ukiandika mada zenye tija wala hawachangii andika upuuzi ,umbea,udaku watapigiana simu,wataitana mbaya zaidi wanaume ,bora wanawake tunajuanaga ni wambea tunachambana yanaisha,,wanaume ukiwa mbea lazima tukushangae,,kuna wanaume wambeya humu mnapenda kuchunguza mambo hata hayawaingizii pesa yaone kwanza.

Kazi kulalamika wanawake wanapenda pesa kutwa mnakalia umbea mlitaka tupende nini waone

Ila kuna wanaume humu ukibahatisha utakula raha kama nene ,wako positive,waelewa hawapendi umbea utafurahia maisha ,yale mambea sasa heee linataka kujua mama s yupoje ,,oyaaa mi wa kawaida tu mnadhani natoka jupiter ama[emoji57][emoji57] uwe unanijua hunijua hainihusu wala hainitishi humu na siogopi mtu yeyote humu mimi nakaaga kimyaa nikiona yamenishinda nalipuka nalipuka haswa ,eti ooh namjua mama s so whaat ,ukinijua nakuongezea pesa bank ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme wangu ananijua zaidii na ni bonge la bwana sio hutaki kunya mtungi wa gesi sio nyie wa...... wa humu ,,

Heko kwa wote mnaonikubali na ninaowakubali pia mbarikiwe mimi sio pesa kusema nipendwe na kila mtu

Acheni umbeya fanyeni kazi mkituiga ambao hatuna kazi mtakufa makalio juu


Mama G

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume mnaitwa. Leo chambo limewaangukia.

Sema dada shemeji G bonge la bwana kweli. Sio kwa smile ile wallah.
Wakubwa mnafaidi bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan Mzigua Raha anazonipa G natamani hata mjue lakin nashindwa kushare yaliyomo moyoni mwangu aisee ananipa raha mno,sijawah pata aisee mama yake alimlea haswaa

Nawe utafaidi mengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe na genge lako kuna tatizo linalowasumbua.
Yawezekana kuna biashara haramu (kujiuza) huwa mnaifanya huku.
Au kudanga. Kila siku nyie ndiyo mnasemwa tuu, na kuvujishiwa picha kwa nini siyo wengine?
Tafuteni kazi za kufanya acheni kiki za kipumbavu. Pia itawasaidia kupumzisha papuchi zenu.
Tutawadhalilisha tuu HAMNA NAMNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…