Watu wa jf wanapenda umbea kweli

Watu wa jf wanapenda umbea kweli

Yaan humu ukiandika mada zenye tija wala hawachangii andika upuuzi ,umbea,udaku watapigiana simu,wataitana mbaya zaidi wanaume ,bora wanawake tunajuanaga ni wambea tunachambana yanaisha,,wanaume ukiwa mbea lazima tukushangae,,kuna wanaume wambeya humu mnapenda kuchunguza mambo hata hayawaingizii pesa yaone kwanza.

Kazi kulalamika wanawake wanapenda pesa kutwa mnakalia umbea mlitaka tupende nini waone

Ila kuna wanaume humu ukibahatisha utakula raha kama nene ,wako positive,waelewa hawapendi umbea utafurahia maisha ,yale mambea sasa heee linataka kujua mama s yupoje ,,oyaaa mi wa kawaida tu mnadhani natoka jupiter ama[emoji57][emoji57] uwe unanijua hunijua hainihusu wala hainitishi humu na siogopi mtu yeyote humu mimi nakaaga kimyaa nikiona yamenishinda nalipuka nalipuka haswa ,eti ooh namjua mama s so whaat ,ukinijua nakuongezea pesa bank ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme wangu ananijua zaidii na ni bonge la bwana sio hutaki kunya mtungi wa gesi sio nyie wa...... wa humu ,,

Heko kwa wote mnaonikubali na ninaowakubali pia mbarikiwe mimi sio pesa kusema nipendwe na kila mtu

Acheni umbeya fanyeni kazi mkituiga ambao hatuna kazi mtakufa makalio juu


Mama G

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza kuwa na majina ya kiume lakini wengine michicha mwiba(huchoma lakini inaliwa).


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sawa tunaomba tukudangie

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kudanga kwangu hauna hadhi. Sababu ni kama zifuatazo,
1: kama nyie kila siku jf yote ndiyo mnasemwa maana yake nyie ni cheap.
2: kwa maelezo yenu na malalamiko yenu inaonyesha mapapa yenu humu jf ni walezi wa wana.
Mmeigeuza jf kuwa kijiwe cha kupiga uprost... Mimi hamuwezi kunipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kudanga kwangu hauna hadhi. Sababu ni kama zifuatazo,
1: kama nyie kila siku jf yote ndiyo mnasemwa maana yake nyie ni cheap.
2: kwa maelezo yenu na malalamiko yenu inaonyesha mapapa yenu humu jf ni walezi wa wana.
Mmeigeuza jf kuwa kijiwe cha kupiga uprost... Mimi hamuwezi kunipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetaja kijiwe ingenoga kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom