Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Habari wakuu,
Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa?
Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa chale za kutosha maeneo tofauti tofauti ya mwili, wengine hadi wanajishtukia hawajiamini mfano ni huyu msukuma hajiamini kabisa zinamnyima raha, kujitetea kwingi kuwa kwao sio wachawi na ameshajua fika nitamuacha kwa sababu ya hayo makovu ya chale.
Kwa sababu huu utaratibu umekithiri sana kanda hiyo jaribuni kupunguza au kuacha kama inawezekana.
NAWASILISHA.