Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu wangu wahamishie utaratibu kwenye sindanoNaona ni utaratibu tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu wangu wahamishie utaratibu kwenye sindanoNaona ni utaratibu tu mkuu
Tuache bahn kila tribe na utaratibu wakeHabari wakuu,
Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa?
Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa chale za kutosha maeneo tofauti tofauti ya mwili, wengine hadi wanajishtukia hawajiamini mfano ni huyu msukuma hajiamini kabisa zinamnyima raha, kujitetea kwingi kuwa kwao sio wachawi na ameshajua fika nitamuacha kwa sababu ya hayo makovu ya chale.
Kwa sababu huu utaratibu umekithiri sana kanda hiyo jaribuni kupunguza au kuacha kama inawezekana.
NAWASILISHA.
Tunaelekezana tu mkuuTuache bahn kila tribe na utaratibu wake
Kivipi mkuu?Ilikuwaga nje ya uwezo
Sio kushindwa ila zinapunguza mzukaNajaribu kutafuta connection kati ya Chale na Kushindwa kula tunda kimasihara..!!
Dipresheni hiyoHatutaki.
Mlikua mnamuogopa sioKuna mdada nlisoma nae aisee alikua na chale nyingi kinoma ilibidi aondoke na clean sheet
Noma sana, angalia mkuu usije ukatekwa na hao watoto wa kanda ya ziwa kichawi ...Sio kushindwa ila zinapunguza mzuka
Uko sahihi 100% all my girl friend zaidi ya watatu nilio kutana nao wana chale, kifuani au mgongoni katikati sijui wana wawekea dawa gani hiyo.....Habari wakuu,
Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa?
Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa chale za kutosha maeneo tofauti tofauti ya mwili, wengine hadi wanajishtukia hawajiamini mfano ni huyu msukuma hajiamini kabisa zinamnyima raha, kujitetea kwingi kuwa kwao sio wachawi na ameshajua fika nitamuacha kwa sababu ya hayo makovu ya chale.
Kwa sababu huu utaratibu umekithiri sana kanda hiyo jaribuni kupunguza au kuacha kama inawezekana.
NAWASILISHA.
Mi nikiona vile nahis kama ni mchawi sijui yaan Kuna namna namshusha vyeo nikiona hizo alamaMlikua mnamuogopa sio
Tuache tujilinde, tuache kabisa......kama hauzipendi kaoe kwenu huko 😹Wapunguze kuna haja gani ya kumchafua mtu na chale kiunoni, kifuani, tumboni, usoni, mikononi?
Kuna shida mahali ndio maana wakifika mjini wengi wanazifuta.