Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

1730484584841.png
 
Habari wakuu,

Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa?

Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa chale za kutosha maeneo tofauti tofauti ya mwili, wengine hadi wanajishtukia hawajiamini mfano ni huyu msukuma hajiamini kabisa zinamnyima raha, kujitetea kwingi kuwa kwao sio wachawi na ameshajua fika nitamuacha kwa sababu ya hayo makovu ya chale.

Kwa sababu huu utaratibu umekithiri sana kanda hiyo jaribuni kupunguza au kuacha kama inawezekana.

NAWASILISHA.
Mwanamme unakosaje chale?? We sema ulitaka kumchawia ukadunda. Mbona nyie mnatembea na shanga mpaka miguuni na hatusemi(vikuku)
 
Nikishakutana na Mwanamke mweupe au mweusi ana chale tumboni, sijui mgongoni au kwingineko nampiga mbata ya mgongo (Salala), akiniuliza nampigia nini nampiga mbata nyingine kisha namwambia kwenda kule...
 
CHALE NI AGANO kati ya anayechanjwa chale na ufalme wa kuzimu kupitia kuhani wa kishirikina kichawi au mganga wa kienyeji likihusisha damu(ukichanja mwili damu itatoka)
agano hilonla damu katika ibada hiyo ya kishirikina na katika madhabahu ya kuzimu kupitia kuhani wa kishirikina anayejitambulisha kama mganga lina tembea fuatilia vizazi hata cha tatu na cha nne hata miaka 400.
ATHARI NI HASI
Roho za kuzimu na mauti roho za uharibifu ulizoingia nazo mkataba zitafuatilia wewe na uzao wako hata kiazazi cha nne.
Ufalme wa giza kazi yake ni nini uharibifu,mauti,na kufunga vifungo vya kipepo ,vinavyoharibu maisha yako nanvizazi ,na hata mauti,riho ya vifo..yani mabaya
HAKUNA FAIDA.
UONGO ULIOPO
Utadanganywa kuwa ni zindiko ni kinga ni ulinzi ila ni kukaribishabkimilikiwa na mapepo ,majini kuwa chini ya kutumikishwa na ufalme wa giza ambao umejivika ngozi ya kindoo kumbe ni mbwa mwitu unajifanya ni msaada kwako au rafiki kwako kumbe ni ADUI.
 
Attachments

  • Screenshot_20241101-215113.jpg
    Screenshot_20241101-215113.jpg
    80 KB · Views: 5
Habari wakuu,

Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa?

Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa chale za kutosha maeneo tofauti tofauti ya mwili, wengine hadi wanajishtukia hawajiamini mfano ni huyu msukuma hajiamini kabisa zinamnyima raha, kujitetea kwingi kuwa kwao sio wachawi na ameshajua fika nitamuacha kwa sababu ya hayo makovu ya chale.

Kwa sababu huu utaratibu umekithiri sana kanda hiyo jaribuni kupunguza au kuacha kama inawezekana.

NAWASILISHA.
Ukipenda ua penda na boga lake.
 
CHALE NI AGANO kati ya anayechanjwa chale na ufalme wa kuzimu kupitia kuhani wa kishirikina kichawi au mganga wa kienyeji likihusisha damu(ukichanja mwili damu itatoka)
agano hilonla damu katika ibada hiyo ya kishirikina na katika madhabahu ya kuzimu kupitia kuhani wa kishirikina anayejitambulisha kama mganga lina tembea fuatilia vizazi hata cha tatu na cha nne hata miaka 400.
ATHARI NI HASI
Roho za kuzimu na mauti roho za uharibifu ulizoingia nazo mkataba zitafuatilia wewe na uzao wako hata kiazazi cha nne.
Ufalme wa giza kazi yake ni nini uharibifu,mauti,na kufunga vifungo vya kipepo ,vinavyoharibu maisha yako nanvizazi ,na hata mauti,riho ya vifo..yani mabaya
HAKUNA FAIDA.
UONGO ULIOPO
Utadanganywa kuwa ni zindiko ni kinga ni ulinzi ila ni kukaribishabkimilikiwa na mapepo ,majini kuwa chini ya kutumikishwa na ufalme wa giza ambao umejivika ngozi ya kindoo kumbe ni mbwa mwitu unajifanya ni msaada kwako au rafiki kwako kumbe ni ADUI.
Umeeleza ya kweli kabisa mkuu.
 
Uko sahihi 100% all my girl friend zaidi ya watatu nilio kutana nao wana chale, kifuani au mgongoni katikati sijui wana wawekea dawa gani hiyo.....
Wengi sana wanazo maeneo hayo unaweza dhani kashonwa shonwa.
 
Back
Top Bottom