Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #61
Wanaziita Nsalago . Aloo wasukuma wanachanja sana na hazina maajabu kabsaaa.
Wanahitaji mabadiliko, hayo mambo wapunguze.Wengine ni utamaduni wao kama wakurya,wamasaie ,wamakonde ila wasukuma baadhi wanachanja wale wacheza ngoma kama urembo. Wanaobakia ni yale mambo ya upande wa kienyeji hasa vijijini huko elimu inahitajika sana