Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

Kwani tumekwambia ki kujilinda na kifo, we tuache......

Yule jamaa alikua anaogopeka nchi nzima yani akisimama hakuna wa kusema ngw'e unadhani kawaida hiyo?? Ni covid pekee ndo ilisema ngw'eee
Alikuwa anaogopeka kwa sababu ya chale au ubabe wake?
 
Wapunguze kuna haja gani ya kumchafua mtu na chale kiunoni, kifuani, tumboni, usoni, mikononi?
Kuna shida mahali ndio maana wakifika mjini wengi wanazifuta.
Nishakutana na pisi kadhaa zina chale na ukiwauliza utasikia hii nilichanjwa enzi nikiwa mtoto sijielewi ila sisi hatuna mambo ya Ushirikina.
 
Nishakutana na pisi kadhaa zina chale na ukiwauliza utasikia hii nilichanjwa enzi nikiwa mtoto sijielewi ila sisi hatuna mambo ya Ushirikina.
Kuna mtu jana alikua ananiambia kanda hiyo na ushirikina ni kawaida kwa hiyo hao wanaosema hawana mambo ya kishirikina wanatudanganya.
 
Babu wa Babu yako Mzaa Babu yake kwa Babu yake Babu yako alikua anaabudu MIZIMU na alipigwa chale mpaka kwenye ulimi mpaka kwenye kichwa cha chini alipigwa chale sasa kizazi chake kimoja wapo ndio Wewe sauti ya kuzimu
Ni kweli wahenga ancistors wetu walikuwa wapagani,ndio maana kuna haja ya kuyavunja haya maagano tuliyoingizwa hata pasipokujua na bila ridhaa yetu mana damu yetu ina maagano ya mauti.HIVYO IPO NEEMA YA YESU damu ya Yesu imetukomboa bure,ndiyo inayotusafisha,kwa imani tukiamini tumekombokewa kutoka katika kumilikiwa na ufalme wa nguvu za giza na kuhamishiwa na kiingizwa katika ufalme wa mwana wa pendo la Mungu.
 

Attachments

  • Screenshot_20241102-092408.jpg
    Screenshot_20241102-092408.jpg
    100.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom