Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kama hazina tatizo kwanini wengi wanatafuta dawa za kufuta?Kwani zina tatizo gani mkuu
Kwanza mimi sio mtoto wa 2000Hao watu mlikutana kimwili au kivipi?
Dadavua vizuri we mtoto wa 2000
We inakuathirije katika utafutaji wa mkate Kila siku???Habari wakuu,
Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa?
Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa chale za kutosha maeneo tofauti tofauti ya mwili, wengine hadi wanajishtukia hawajiamini mfano ni huyu msukuma hajiamini kabisa zinamnyima raha, kujitetea kwingi kuwa kwao sio wachawi na ameshajua fika nitamuacha kwa sababu ya hayo makovu ya chale.
Kwa sababu huu utaratibu umekithiri sana kanda hiyo jaribuni kupunguza au kuacha kama inawezekana.
NAWASILISHA.
Sijahusisha na ulichohoji mkuu.We inakuathirije katika utafutaji wa mkate Kila siku???
Chale zinakata sana, kwenye mikono karibia na mabega yote kachanjwa pakubwa hapendi kuvaa nguo ya mikono mifupi. Huko kifuani napo zipo.Kuna lishangaz lilikuwa lipo vzur jeupe lakin lina chale mbichi lilinikata stimu kabisa
Walikukosea nini mkuunarudia!! hii kanda yote ni takataka watu wote wasiostaarabika wanatokea huku.
Wa mjini, nao wana huo utaratibu wa kuchanja sana?Unawajua wamakonde
Nimecheka kweli 🤣🤣🤣🙌tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie
Huko kuchanjwa au kukeketwa?Mpka kwenye k wana chale dahh
Yes kama lengo ni kuwainject dawa sindano zipo zinafaa kuliko kuwaacha na makovu ya chale.Nimecheka kweli 🤣🤣🤣🙌
Naona ni utaratibu tu mkuuYes kama lengo ni kuwainject dawa sindano zipo zinafaa kuliko kuwaacha na makovu ya chale.
Wapunguze kuna haja gani ya kumchafua mtu na chale kiunoni, kifuani, tumboni, usoni, mikononi?Kwani zina tatizo gani mkuu