Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

Wengine isingekuwa hizo Chale tungekuwa tulisha kufa,hapa nina hilizi inapumia na juu yake nimeweka vichale vyenye dawa fulani.
 
Kanda ya ziwa kubwa,be specific..
 
Wengi hufanyiwa hivyo utotoni hawatambui hata ni nini kinachoendelea.
Zamani nilikuwa nasumbuliwa sana na kichwa akaletwa mtu nyumbani ili nipone natakiwa nipigwe chale kwenye paji la uso,Ilipo fika mda wa kuchanjwa nilitimua mbio na zoezi likaishia hapo.
 
Utamaduni mkuu kila jamii ina mambo yake
 
Zamani nilikuwa nasumbuliwa sana na kichwa akaletwa mtu nyumbani ili nipone natakiwa nipigwe chale kwenye paji la uso,Ilipo fika mda wa kuchanjwa nilitimua mbio na zoezi likaishia hapo.
πŸ˜‚ na kichwa kikapona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…