Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

Weka picha
 
Hao wengine hata kwao wanaenda hata hela hawana. Anafika siku ya kwanza sikuya tatu tu hata nauli ya kurudi hawana😅😅😅
Wengine kesho wapo barabarani wanarudi chap. Mwenye hela tusubiriane mpaka January sio mtu anakuja Xmas halafu anadandia fuso.
 
Jerry Muro ni laana kwa watu wa Kaskazini. Aliungana na Watesi wa watu wa Kaskazini kuwatesa ndugu zake
Huyo kaiba jina la KLM tuu.
Mazao ya mikesha ya mbio za mwenge huwa zinapewa majina yoyote, hasa majina ya KLM ili kuwarithisha "Israel Spirit".
 
Mchaga mwenye akili zake timamu ndio wewe baada ya marehemu Mengi, mwana FA ameshauri kwenye nyimbo tafuta pesa ila usipige nazo picha…. Wachaga wengi ni wapiga picha na hela ukitizama matukio yao hasa wakati huu wa sikukuu za kufunga mwaka.

Ni vigumu sana kuwaona wahindi ambao ndio jamii tajiri zaidi hapa Tz lakini kama ulivyosema wako very humble, kina Mo utawaona zaidi wakipost yatima, wahitaji kama ilivyokuwa enzi za mzee Mengi. Ile mjengo alijengewa mama mapacha wa Mengi ingekuwa ni mchaga ordinary tungeanza kuonyeshwa kuanzia kiwanja, msingi, beam zikifungwa lkini ajabu tumekuja jua baada ya mchaga special kuenda zake.
 
Tabia ya Wachaga ni kama movement ya Wanyama wa Serengeti au Masai-Mara
 
Yani watu wa kaskazini kwenda kwao unasema ndio wanadharau watu?
Mbona hujiamini na umejawa na inferiority complex kiasi hicho.
 
Wakilimanjaro ulimbukeni hautawaisha, yaani kama ni utamaduni wenu iweje Leo iwe kitu kigeni? Kweli ushamba hauna bei
Yaani hawa ni wajinga kweli! Yaani nyinyi ndo unajua kutafuta kuliko wenginie! Endeleeni na utaahira wenu wa kuvywa mbege!
 
sitanunua chochote kwa mchaga, na eneo nilipo huo ndo msimamo wetu.


wachaga wengi wenu ni wakabila na wapumbavu sana.


nilishaapa ndugu yangu akioa mchaga sitaenda kwake na hata yeye kwangu sitapenda aje na huyo hawala yake na ninayo furaha kuzuia ndoa ya mtanzani lichaga la kike.
 
Unachochea chuki za ukanda. Wewe ni hatari kwa usalama wa nchi yetu.
 
Yani watu wa kaskazini kwenda kwao unasema ndio wanadharau watu?
Mbona hujiamini na umejawa na inferiority complex kiasi hicho.
Soma niliyekuwa namjibu maana nami ni wa kaskazini pia. Au ushapiga banana?
 
Unajua hata jamii ya wapemba na wazanzibar huwa lazima kipindi Cha sikukuu especially za kidini nao henda makwao na boat huwa shida kupata nafasi kama hujakata ticket mapema .

Jamii za wahindi nao wakati wa sherehe za Diwali wengi huondoka nchini kwenda kujumuika na ndugu zao.

Kiuhalisia Moshi jamii kubwa ni wakristo hivyo imekuwa utaratibu wa kukutana wakati huu wa sikukuu especially mwisho wa mwaka ili kuweza kusherehekea pamoja na kujadili masuala mbalimbali ya kifamilia ikiwemo changamoto tunazopata na kuangalia namna ya kusaidiana.

Sasa huu utaratibu ni ngumu kwa baadhi ya jamii sababu kuu ni mchamganyiko wa dini pia, unakuta familia ni moja Ila dini tofauti hivyo wakati wengine wanashangilia Xmas wengine wanasubiri Eid hivyo huwa ngumu kidogo tofauti na huku kaskazini ambako jamii kubwa ukristo umetawala hivyo huwa rahisi.

Ni sawa na Pemba na Unguja Nako wakati wa sikukuu ya Eid huwa hivyo hivyo, Mara nyingi hizi siku za holiday watu huzitumia kukutana ndugu na marafiki Ila mostly zile jamii zenye kuabudu dini moja.

Sasa hii ya watu kuwasema wengine kwamba hawaendi kwao sio sahihi pia ukiona umepata bahati ya kuwa dini moja kama wapemba na watu wa kaskazini ni jambo la kushukuru Mungu kwakuwa mnajikuta kipindi cha sikukuu mnakuwa mnasherehekea pamoja hivyo huweza kuwakutanisha pamoja.

Kuhusu pesa aisee kila jamii Wana pesa labda watu hawajakutana na wasukuma au wakinga au watu wa kigoma, Wana pesa na wapo kimya tu .

Mwisho wa siku ndio nachosema, ukiketa mbwembwe sana kumbuka wateja wako wanatoka kwa haohao unaowaletea mbwembwe sema wao wanaamua kunyamaza tu Ila nao wakiamua wasinunue kwako hutoki hapa mjini salama.

Tunategemea a kama jamii. Utamaduni fulani usionekane ni wa maana kushinda mwingine, hii ndio ukifanya wazungu wachukiwe na jamii nyingine sababu ya kujiona wao ni Bora kushinda wengine, kila tamaduni ziheshimiwe.

Karibuni Shanty town .
 
Soma niliyekuwa namjibu maana nami ni wa kaskazini pia. Au ushapiga banana?
Kwa ulivo jibu wewe ni shomile tu, eti watu kwenda huko ni kuringa na kudharau wengine mara mbona wahaya sijui nini?
 
Kwa ulivo jibu wewe ni shomile tu, eti watu kwenda huko ni kuringa na kudharau wengine mara mbona wahaya sijui nini?
Wewe ni mpumbavu nilikuwa nakuona wa maana, hakuna mchaga mjinga Kama wewe. Either umeolewa kwetu unajifanya unapajua sana. Stupid,
 
Hala hala matambiko nk..Bwana you malangoni anakuja kuchuka walio wake...otherwise happy Christmas & new year Kiborilony..Tella.. Mbokomu.. Msaranga... Kidia .. @ Useri kncu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…