Upepo wa lowassa 2015 umerudi CCMWapi, hakuna kitu yaani wakati ambapo waliokuwa nyuma wameshtuka na kufuata mwanga wajanja ndio warudi gizani?
Hiyo itakuwa kituko cha karne, walikataa giza kitambo leo hawawezi kurudi wakati sasa ni giza totoro na nuru ya mwanga waliko sasa imeongezeka. Hawawezi kurudi gizani walikotoka, ni mbele kwa mbele tu mpaka kieleweke, bado kitambo kifupi lengo litimie
Jidanganyeni tuuuHali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia Chadema jambo lilooelekea kura ya hasira dhidi ya CCM.
Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama.
Wakazi wa kaskazini wameamua kuachana na siasa za kiuwanaharakati kwani haziwasaidii na badala yake zimepunguza fursa za kimaendeleo.
Ishara ya kuinua Masale kuanzia Moshi,Hai,Usa,Arusha jiji n.k ni ishara ya mapatano .
Huwajui watu wa Kaskazini wewe. Nenda kamuulize yule shombeshombe wa Moshi mjini mwaka 2015!Anzia Arumeru Mashariki,Ingia mjini kati,arumeru magharibi ,Monduli,Ngorongoro na longido nitajie jimbo moja tu
Lowassa kwa Chadema hana upepo wowote na ndiyo maana hata mwaka huu hana jipya. Lissu kazoa kila konaUpepo wa lowassa 2015 umerudi CCM
Muone na huyu mbwigaMimi mwenyewe ni mtu wa Kilimanjaro kwa kufufua treni kura yangu ni kwa JPM.
Aaah! Masale siku hizi CCM wanayafanyia maigizo na utani tu. Hayana maana tena.Ishara ya kuinua Masale kuanzia Moshi,Hai,Usa,Arusha jiji n.k ni ishara ya mapatano .
Miaka zaidi ya 30 treni ilijifia kifo cha mende leo hii dude linanguruma viunga vya krokoni na kuleta neema kwa wafanyabiashara wadogo waliopo krokoni na Kilombero.Mimi mwenyewe ni mtu wa Kilimanjaro kwa kufufua treni kura yangu ni kwa JPM.