Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Chadema kimekuwa chama cha kishamba sana, sishangai wana chuga kukimbia na kurudi Ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Kilimanjaro wamegundua kwamba chadema kushika dola inahitaji miaka 50 kwa maana nyingine kutoipigia CCM watakaa nje ya vyombo muhimu vya maamuzi ya nchi. Ubaguzi umejaa chadema, wanaojitambua wametoroka na kwenda CCMNa wamerudisha kweli kweli Mwaka huu ni mwaka wa CHADEMA kuumia kila kona. Hongera JPM tunakupa kura zetu tena
2015 Walimfuata lowassa na ukumbuke lema alishindwa kuzindua kampeni hadi lowassa alipofika.Wewe Bwege ungetuambia ni kwanini walipoteza imani na hayo maccm.
We mshamba kweli,uko kijiji gani train tu inakuzuzua . tena ya mwaka 47.Mimi mwenyewe ni mtu wa Kilimanjaro kwa kufufua treni kura yangu ni kwa JPM.
Sio kweli,kipindi cha kikwete alipeleka mikutano yote ya kimataifa Bagamoyo na Dar ili kuinua uchumi Wa kwao.Chini ya Lema Arusha imekosa mikutano mingi sana ya kimataifa ambayo ilihamishiwa Julius Nyerere International Conference baada ya mji kugeuka kitovu cha maandamano, Lema ametugharimu Sana kwa faida ya mshahara wake wa mwezi,
Watu wa Arusha ili kurejesha heshima ya mkoa wetu tumkatae Lema na mambo yake yote maovu, tuurejeshe uchumi na heshima ya mkoa wetu.
Hakuna kitu hapo tuache kupanda kitu cha mchina au cha mswidish tukapande hilo gogo lenu. Mie niko moshi huku vijijini magu hana chake bora tuvumilie mitano kuliko kumpigia kura huyo mbaguzi mkubwaMiaka zaidi ya 30 treni ilijifia kifo cha mende leo hii dude linanguruma viunga vya krokoni na kuleta neema kwa wafanyabiashara wadogo waliopo krokoni na kilombero
Huwezi ukafahamu kila kitu mkuu,Sio kweli,kipindi cha kikwete alipeleka mikutano yote ya kimataifa Bagamoyo na Dar ili kuinua uchumi Wa kwao.
Mbona utalii haukufa kama Lema ndio alikiwa kisababishi.
CCM huyo tunamjua usitishike na hiyo username.Muone na huyu mbwiga
Magufuli ametufanyia makubwa sana sasa kwenda 16000 badala ya 33000
Hili nililishudia kwa macho yangu pale leganga majuziWakurungwa wa Arusha tumerudi Ccm
Chadema wametutesa sana