Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

Huwezi ukafahamu kila kitu mkuu,

Kipindi hicho cha kikwete ndio kwanza maandamano yanayoasisiwa na huyo Lema yalikuwa yameshika hatamu,

Ilikuwa aibu kwa Taifa kualika wageni wakati mambo ya kihuni yakifanyika,

Ndio maana Arusha ikakosa mikutano ya kimataifa, JNIC ikashika hatamu, Lema akawa kiongozi wa genge la wahuni, Arusha ikadidimia kiuchumi.

Madhara ya siasa za kitoto za Lema kwa Uchumi wa Arusha hayaelezeki.

Toa Lema, Rudisha hadhi ya Arusha.
Kama hawezi kufahamu kila kitu who are you wa kuweza kufahamu kila kitu?
 
Chini ya Lema Arusha imekosa mikutano mingi sana ya kimataifa ambayo ilihamishiwa Julius Nyerere International Conference baada ya mji kugeuka kitovu cha maandamano, Lema ametugharimu Sana kwa faida ya mshahara wake wa mwezi,

Watu wa Arusha ili kurejesha heshima ya mkoa wetu tumkatae Lema na mambo yake yote maovu, tuurejeshe uchumi na heshima ya mkoa wetu.
Pale unapodanganya bila kuwa na taarifa sahihi. Mikutano imefanyika mingi. Hakujawahi kusimamishwa mkutano kutokana eti na maandaamano.
 
Pale unapodanganya bila kuwa na taarifa sahihi. Mikutano imefanyika mingi. Hakujawahi kusimamishwa mkutano kutokana eti na maandaamano.
Sasa ulitegemea kuwa mikutano ikisitishwa kupangwa wewe utaambiwa??

Habari ndio hiyo mkuu, Lema is a disgrace to our town, aondoke.
 
Sasa ulitegemea kuwa mikutano ikisitishwa kupangwa wewe utaambiwa?

Habari ndio hiyo mkuu, Lema is a disgrace to our town, aondoke.
Sio kwamba niambiwe. By then niko AICC. Kila kikao taarifa zake nilikuwa ninazo.

Huwezi niambia kitu yoyote kuhusu ile sehem.

Lema might be disgrace lakin si hizo allegation zako ni za kitoto.
 
Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia Chadema jambo lilooelekea kura ya hasira dhidi ya CCM.

Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama.

Wakazi wa kaskazini wameamua kuachana na siasa za kiuwanaharakati kwani haziwasaidii na badala yake zimepunguza fursa za kimaendeleo.

Ishara ya kuinua Masale kuanzia Moshi,Hai,Usa,Arusha jiji n.k ni ishara ya mapatano .
Mtatabiri sana lakini Mzee wa Kupepewa na AC jukwaani Lazima aende na maji

Haungwi mkono na Wakulima
Haungwi mkono na Wafanyakazi
Haungwi mkono na Wafanyabiashara
Hatakiwi na Wanafisiemu asilia
Hatakiwi na Waislam
Hatakiwi na Wakristo

Apparently Hatakiwi na Jeshi kwa sababu jeshi haliwezi kulinda Mtu mmoja Mwizi likaacha kuside na Wananchi (ni Jeshi la Wananchi kumbuka, siyo Jeshi la Mzee Vipaja)

Unashindaje Uchaguzi katika Mazingira haya?
 
Acha hasira za mkizi...kanunue antidepressants mapema
Wewe uliepata mtindio wa ubongo ndio maana unaandika utumbo ndio uende ukapate dawa za kuweka ubongo wako vizuri mtu mzima unaandika pumba hunu.
 
Sio kwamba niambiwe. By then niko AICC. Kila kikao taarifa zake nilikuwa ninazo.

Huwezi niambia kitu yoyote kuhusu ile sehem.

Lema might be disgrace lakin si hizo allegation zako ni za kitoto.
Hehe AICC hakuna bavicha kama wewe,

Pale sijui umtaje nani nisimfahamu.

Tafuta uongo mwingine wa kumtetea homeboy wako ila sio huu.
 
Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia Chadema jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM.

Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama.

Wakazi wa kaskazini wameamua kuachana na siasa za kiuwanaharakati kwani haziwasaidii na badala yake zimepunguza fursa za kimaendeleo.

Ishara ya kuinua Masale kuanzia Moshi, Hai, USA, Arusha jiji n.k ni ishara ya mapatano.
Ni rahisi ngamia kupenya Tundu la sindano kuliko watu wa Arusha, Manyara Ana Kilimanjaro kuichagua Ccm
 
Sio kwamba niambiwe. By then niko AICC. Kila kikao taarifa zake nilikuwa ninazo.

Huwezi niambia kitu yoyote kuhusu ile sehem.

Lema might be disgrace lakin si hizo allegation zako ni za kitoto.
umekuwepo AICC kwa muda gani?mimi nimefanya kazi hapo
 
Chini ya Lema Arusha imekosa mikutano mingi sana ya kimataifa ambayo ilihamishiwa Julius Nyerere International Conference baada ya mji kugeuka kitovu cha maandamano, Lema ametugharimu Sana kwa faida ya mshahara wake wa mwezi.

Watu wa Arusha ili kurejesha heshima ya mkoa wetu tumkatae Lema na mambo yake yote maovu, tuurejeshe uchumi na heshima ya mkoa wetu.
Akataliwe mara ya ngapi Mkuu? Lema hana chake ni CCM TUU.

October 28th ni ya maafa kwa wapinzani..kura zitakuwa nyingi kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sio kweli,kipindi cha kikwete alipeleka mikutano yote ya kimataifa Bagamoyo na Dar ili kuinua uchumi Wa kwao.
Mbona utalii haukufa kama Lema ndio alikiwa kisababishi.
Toka kipindi cha JK maandamano yakiratibiwa na lema ndio yamekuwa image ya Arusha ....sasa imefikia mwisho
 
We mshamba kweli,uko kijiji gani train tu inakuzuzua . tena ya mwaka 47.
We hutaki katiba Mpya ili madaraka yarudi kwetu wananchi.
Katiba mpya Ipi??italetaje madaraka kwa wananchi?
Tusiwe kasuku wa kuiga mambo ya ajabu...tuige maendeleo ya kweli.
 
Hehe AICC hakuna bavicha kama wewe,

Pale sijui umtaje nani nisimfahamu.

Tafuta uongo mwingine wa kumtetea homeboy wako ila sio huu.
Haha nani kasema mm ni bavicha? Maana naona unanipachika vitu vya ligi ndogo.. si support upande wowote ule wa siasa.
 
Back
Top Bottom