Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

Kama hawezi kufahamu kila kitu who are you wa kuweza kufahamu kila kitu?
 
Pale unapodanganya bila kuwa na taarifa sahihi. Mikutano imefanyika mingi. Hakujawahi kusimamishwa mkutano kutokana eti na maandaamano.
 
Pale unapodanganya bila kuwa na taarifa sahihi. Mikutano imefanyika mingi. Hakujawahi kusimamishwa mkutano kutokana eti na maandaamano.
Sasa ulitegemea kuwa mikutano ikisitishwa kupangwa wewe utaambiwa??

Habari ndio hiyo mkuu, Lema is a disgrace to our town, aondoke.
 
Sasa ulitegemea kuwa mikutano ikisitishwa kupangwa wewe utaambiwa?

Habari ndio hiyo mkuu, Lema is a disgrace to our town, aondoke.
Sio kwamba niambiwe. By then niko AICC. Kila kikao taarifa zake nilikuwa ninazo.

Huwezi niambia kitu yoyote kuhusu ile sehem.

Lema might be disgrace lakin si hizo allegation zako ni za kitoto.
 
Mtatabiri sana lakini Mzee wa Kupepewa na AC jukwaani Lazima aende na maji

Haungwi mkono na Wakulima
Haungwi mkono na Wafanyakazi
Haungwi mkono na Wafanyabiashara
Hatakiwi na Wanafisiemu asilia
Hatakiwi na Waislam
Hatakiwi na Wakristo

Apparently Hatakiwi na Jeshi kwa sababu jeshi haliwezi kulinda Mtu mmoja Mwizi likaacha kuside na Wananchi (ni Jeshi la Wananchi kumbuka, siyo Jeshi la Mzee Vipaja)

Unashindaje Uchaguzi katika Mazingira haya?
 
Acha hasira za mkizi...kanunue antidepressants mapema
Wewe uliepata mtindio wa ubongo ndio maana unaandika utumbo ndio uende ukapate dawa za kuweka ubongo wako vizuri mtu mzima unaandika pumba hunu.
 
Sio kwamba niambiwe. By then niko AICC. Kila kikao taarifa zake nilikuwa ninazo.

Huwezi niambia kitu yoyote kuhusu ile sehem.

Lema might be disgrace lakin si hizo allegation zako ni za kitoto.
Hehe AICC hakuna bavicha kama wewe,

Pale sijui umtaje nani nisimfahamu.

Tafuta uongo mwingine wa kumtetea homeboy wako ila sio huu.
 
Ni rahisi ngamia kupenya Tundu la sindano kuliko watu wa Arusha, Manyara Ana Kilimanjaro kuichagua Ccm
 
Sio kwamba niambiwe. By then niko AICC. Kila kikao taarifa zake nilikuwa ninazo.

Huwezi niambia kitu yoyote kuhusu ile sehem.

Lema might be disgrace lakin si hizo allegation zako ni za kitoto.
umekuwepo AICC kwa muda gani?mimi nimefanya kazi hapo
 
Akataliwe mara ya ngapi Mkuu? Lema hana chake ni CCM TUU.

October 28th ni ya maafa kwa wapinzani..kura zitakuwa nyingi kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sio kweli,kipindi cha kikwete alipeleka mikutano yote ya kimataifa Bagamoyo na Dar ili kuinua uchumi Wa kwao.
Mbona utalii haukufa kama Lema ndio alikiwa kisababishi.
Toka kipindi cha JK maandamano yakiratibiwa na lema ndio yamekuwa image ya Arusha ....sasa imefikia mwisho
 
We mshamba kweli,uko kijiji gani train tu inakuzuzua . tena ya mwaka 47.
We hutaki katiba Mpya ili madaraka yarudi kwetu wananchi.
Katiba mpya Ipi??italetaje madaraka kwa wananchi?
Tusiwe kasuku wa kuiga mambo ya ajabu...tuige maendeleo ya kweli.
 
Hehe AICC hakuna bavicha kama wewe,

Pale sijui umtaje nani nisimfahamu.

Tafuta uongo mwingine wa kumtetea homeboy wako ila sio huu.
Haha nani kasema mm ni bavicha? Maana naona unanipachika vitu vya ligi ndogo.. si support upande wowote ule wa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…