chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
2015 niliona wakiwa na mihemuko wakati wa kupiga kura wakiashiria wazi kuwa walikuwa wana"chinja" leo nimeenda watu ni watulivu na wamedhamiria kurekebisha makosa yao ya 2015.Jinga bado sana hujawajua watu wa hayo maeneo uliyotaja.
Ni point baba anguWatu wa kaskazini Kila siku wapo CCM, siku ya kupiga Kura huwa wapo Chadema.
Unamaanisha kama hivi yaani au!!!???Ni point baba angu
Hahahahha umeua yule wa kujimwambafai mwambafaiUnamaanisha kama hivi yaani au!!!???View attachment 1614692
Umeshapata antdepressantsUnamaanisha kama hivi yaani au!!!???View attachment 1614692