Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Habari ndugu zangu wa kusini, mi sio mtu wa kusini ila nina ndugu yangu namtafuta nilielekezwa kwao ni lindi vijijini, kijiji kinaitwa mchinga namba 2, yeyote anayeishi huko au kupajua vizuri, msaada.
Kama upo Dar, panda gari lolote linalokuja mikoa ya kusini then shuka Mchinga 1 hapo ulizia Mchinga 2 utafiks bila shida
 
Uchiinuke Wala uchikae
Samaki changa
Ukilala chale ukiinuka chale
Nahisi hata matamchi yenu yatakuwa hivi.Hongereni wamachinga kwa kukutana

Sent from my I phone
 
Ndugu yako anaitwa nani tukusaidie kumpata
Habari ndugu zangu wa kusini, mi sio mtu wa kusini ila nina ndugu yangu namtafuta nilielekezwa kwao ni lindi vijijini, kijiji kinaitwa mchinga namba 2, yeyote anayeishi huko au kupajua vizuri, msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngunja (uchafu)
Chidung'unani (makalio) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Likong'we (tikiti)
Ligogoma (beberu)
Chinu (kitu)
Indunga
Jinongo

Nimejikumbusha tu kidogo daaah! Nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…