Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,676
- 3,046
MlembaHii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:-
Kudekelela
Kunyenga
Kunyeng'elesa
Mwandu
Nchonyo
Nang'ongo
Ming'oko
Kwapwapwasa
Mkomela
Chikandanga
Chinduri
Pitiku
Manda
Msambura
Nawe wa nyumbani ongezea ya kwako.
5/5