Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Watu wa kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara tukutane hapa tukumbusha maneno ambayo huwezi kuisikia sehemu yoyote zaidi ya kwetu

Pale masasi BR bado inatamba?
Tuambieni maana ya:-
Kwani je?
Kubebesa,
Mnonji,
Baa!
 
Hii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:-
Kudekelela
Kunyenga
Kunyeng'elesa
Mwandu
Nchonyo
Nang'ongo
Ming'oko
Kwapwapwasa
Mkomela
Chikandanga
Chinduri
Pitiku
Manda
Msambura

Nawe wa nyumbani ongezea ya kwako.

pitiku ni jina la mboga songea huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom