Watu wa Kusini mwa Tanzania wako wapi kwenye hii nchi?

Watu wa Kusini mwa Tanzania wako wapi kwenye hii nchi?

Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.

Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama KATORO.

Kwenye Siasa ndio kabisa wako njwiiiiii, ukimuondoa VP wengine ni kama hawapo.

Kwenye maswala ya Dini kimya.

Maendeleo kimya, hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.

Maswala la social media pia kimya.

Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
Wewe unamtania mama Salma Kikwete?
 
Dini wengi ni Muslims....
Khs maendeleo kule bado sana pia elimu iko chini ! Ni kama wamelala

Wanachojua ni Ngoma, kuoa na kuolewa
Unaweza kukuta huyu anayeongea hapa aliozeshwa tangu akiwa na miaka 12 kwa ng'ombe usukumani huko, ameokota simu tayari huyo mitandaoni kutukana watu wa kusini. Nacheka sana. Na jinga kama wewe huwafanyi chochote watu wa kusini.........fuatilia vizuri historia. Serikali hii, hakuna eneo inalipgopa kama kusini.
 
Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.

hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.

Maswala la social media pia kimya.

Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
Coverage tu imekuwa ndogo ila ukifuatilia nao wamo.

HUwezi taja wazalishaji wa mahindi nchini ukaiacha Ruvuma. Ukizungumzia korosho Lindi na Mtwara hazikosekani.

Kwenye Siasa Kuna huyo PM, Naibu waziri wa fedha, Mama kikwete, Late mbunge bwana Bwege(kwa jina maarufu) na wengine kibao. Kuna wakina Kundambanda jamaa alikuwa mwigizaji lakini baadaye akawa mwanaharakati alikufaga huyu jamaa.

Kwenye burudani Kuna Harmonize, Miso Misondo na wengine wengi. Michezo kuna Namungo Fc.

Kama umewahi kusikia varangati la gesi ya mtwara, vilienda hadi vifaru ngoma ilikuwa nzito.

Hayo ni machache ila ukifuatilia utaona mengi mnooo, kusini ni moja kati ya ngome kongwe za upinzani wakati ule CUF ipo kwenye ramani ilikuwa mbogamboga wa kutafuta kwa tochi.
 
Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.

Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama KATORO.

Kwenye Siasa ndio kabisa wako njwiiiiii, ukimuondoa VP wengine ni kama hawapo.

Kwenye maswala ya Dini kimya.

Maendeleo kimya, hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.

Maswala la social media pia kimya.

Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
Bado hatujamaliza kambi za ngoma za unyago na tohara.
 
Dini wengi ni Muslims....
Khs maendeleo kule bado sana pia elimu iko chini ! Ni kama wamelala

Wanachojua ni Ngoma, kuoa na kuolewa
Maendeleo bado kivipi acheni uongo ninyi...kwenu Hawaoi wala hawaolewi bila shaka wewe ni mtoto wa zinaa?
 
Back
Top Bottom