PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Aisee Ngoma itakuwa ngumu Sana sipati picha mvua za el-nino zikianzaBarabara zote sahv ziko hoi sio Kusini pekee hali mbaya kote na hizo mvua za El- Nino kama zitakuwepo aise nchi itakuwa na hali ngumu sana miundombinu mingi licha ya kuwa hoi itazidi kuharibika na pesa za kuirekebisha hata haisomeki zitatoka wapi maana wahisani wamevuta hand break kutokana na kiburi cha watawala.