Watu wa Kusini mwa Tanzania wako wapi kwenye hii nchi?

Watu wa Kusini mwa Tanzania wako wapi kwenye hii nchi?

Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.

Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama KATORO.

Kwenye Siasa ndio kabisa wako njwiiiiii, ukimuondoa VP wengine ni kama hawapo.

Kwenye maswala ya Dini kimya.

Maendeleo kimya, hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.

Maswala la social media pia kimya.

Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
Umri wako? Ulizia wakubwa wako kuhusu maandamano ya kuzuia Gesi Asili kupelekwa Dar es salaam.
Maandamano hayo hayakutegemea hao wanaharakati wenu uchawara wala insta au tiktok
 
Umri wako? Ulizia wakubwa wako kuhusu maandamano ya kuzuia Gesi Asili kupelekwa Dar es salaam.
Maandamano hayo hayakutegemea hao wanaharakati wenu uchawara wala insta au tiktok
Nilikuwa kuwa kule wakati hii ishu bado moto. Kwanza marufuku kuzungumzia gesi hata dukani utapigwa.

Pili kulikuwa na siku maalum ya kuadhomisha sokoni na maduka yoote yanafungwa. Sujui bado wanafanya hivyo

Tatu wageni walionekana wanakuja kuchukua kazi za vijana wao hatari.
 
Kusini wako bize na manyago,kuvaa shanga,vigodoro na madambusi.

Mwendo wa kupigana miti tu na kulewa berenge
 
Umri wako? Ulizia wakubwa wako kuhusu maandamano ya kuzuia Gesi Asili kupelekwa Dar es salaam.
Maandamano hayo hayakutegemea hao wanaharakati wenu uchawara wala insta au tiktok
Nayajua yote hayo.

Sisi tunaongelea sasa hivi. Inawezekana kizazi cha zamani kilikuwa kinaelewa mambo.
 
Kusini tuna kila kitu mkuu, malalamiko tumewaachia nyie wakuu. Seriously unataja maji kama mfano wa changamoto kusini?

Chakula tunasaza,
Maji tunachimba mita 3 chini tunayakuta,
Gharama za maisha ni very cheap

Ee Mungu bariki na wa daslamu na viunga vyake sasa, utatuua kwa hizi baraka baba
 
Mimi nalia Tu na barabara ya kusini
Barabara zote sahv ziko hoi sio Kusini pekee hali mbaya kote na hizo mvua za El- Nino kama zitakuwepo aise nchi itakuwa na hali ngumu sana miundombinu mingi licha ya kuwa hoi itazidi kuharibika na pesa za kuirekebisha hata haisomeki zitatoka wapi maana wahisani wamevuta hand break kutokana na kiburi cha watawala.
 
Back
Top Bottom