Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Wewe unamtania mama Salma Kikwete?Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.
Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama KATORO.
Kwenye Siasa ndio kabisa wako njwiiiiii, ukimuondoa VP wengine ni kama hawapo.
Kwenye maswala ya Dini kimya.
Maendeleo kimya, hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.
Maswala la social media pia kimya.
Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
napinga hoja hiiHawana umoja, hawawezi Sadia mwingine hata akiwa Kwa position kubwa. Niwabinafsi
Sio barqbar tu, kule hat vilivipo ndan ya vichwa vyao ni vya kulia navyoMimi nalia Tu na barabara ya kusini
Kwa data au kwa hoja nyinginenapinga hoja hii
Unaweza kukuta huyu anayeongea hapa aliozeshwa tangu akiwa na miaka 12 kwa ng'ombe usukumani huko, ameokota simu tayari huyo mitandaoni kutukana watu wa kusini. Nacheka sana. Na jinga kama wewe huwafanyi chochote watu wa kusini.........fuatilia vizuri historia. Serikali hii, hakuna eneo inalipgopa kama kusini.Dini wengi ni Muslims....
Khs maendeleo kule bado sana pia elimu iko chini ! Ni kama wamelala
Wanachojua ni Ngoma, kuoa na kuolewa
Ndo ulivyosimuliwa na mumeo ee?!!!Kusini zao ngoma, muziki na mpira tu.
Coverage tu imekuwa ndogo ila ukifuatilia nao wamo.Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.
hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.
Maswala la social media pia kimya.
Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
Wako bize wanalima korosho na mama kawapa salfa ya kupuliza free kabisa hivyo hawana neno, mitano tena
Bado hatujamaliza kambi za ngoma za unyago na tohara.Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa.
Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama KATORO.
Kwenye Siasa ndio kabisa wako njwiiiiii, ukimuondoa VP wengine ni kama hawapo.
Kwenye maswala ya Dini kimya.
Maendeleo kimya, hawahitaji hata maji? Au wao wana kila kitu?.
Maswala la social media pia kimya.
Maswala ya kijamii kama HARUSI, NGOMA n,k
Mawazo ya kizamani sana hayaDini wengi ni Muslims....
Khs maendeleo kule bado sana pia elimu iko chini ! Ni kama wamelala
Wanachojua ni Ngoma, kuoa na kuolewa
Maendeleo bado kivipi acheni uongo ninyi...kwenu Hawaoi wala hawaolewi bila shaka wewe ni mtoto wa zinaa?Dini wengi ni Muslims....
Khs maendeleo kule bado sana pia elimu iko chini ! Ni kama wamelala
Wanachojua ni Ngoma, kuoa na kuolewa
Kitu gani ambacho mkoa wenu kipo halafu sisi huku hatuna?Unaweza ukafikiri mikoa yao haipo kwenye ramani ya Tanzania.
Hapo kwakweli umetoa pointHawana umoja, hawawezi Sadia mwingine hata akiwa Kwa position kubwa. Niwabinafsi