Watu wa Kusini mwa Tanzania wako wapi kwenye hii nchi?

Aisee Ngoma itakuwa ngumu Sana sipati picha mvua za el-nino zikianza
 
Hiki kitu nilijifunza kutokea kwa Mkapa watu walikuwa wanasema kwao alikotokea alipaacha choka Mbaya licha ya yeye kuwa Rais akahamishia makazi yake Tanga Lushoto
Alikuwa na historia mbaya na kwao nafikiri mzazi wake alifanyiwa ukatili ndo maana hakupapenda toka kipindi hicho hiyo ni sababu kubwa kustaafia Lushoto
 
Alikuwa na historia mbaya na kwao nafikiri mzazi wake alifanyiwa ukatili ndo maana hakupapenda toka kipindi hicho hiyo ni sababu kubwa kustaafia Lushoto
Hiyo pia nilikuwa nahisi hivyo ila sikuwa na uhakika watu huwa wanalaumu mwishoni tu bila kujua historia ya nyuma ilikuwaje unakuta mtu alinyanyaswa hakuandaliwa mazingira mazuri au alitengwa baadae anapambana mwenyewe akitoboa kila mtu anajisogeza kujifanya ndugu wa karibu na kuhitaji fadhila huu unafiki upo sana kwenye jamii zetu
 
Kwa Ruvuma baadhi ya wilaya na halimashauri za miji zinauchumi na zinanitosheleza ndio maana huwezi kusikia viliovilio kama kwingine....mfano Mbinga vijijini,madaba ,Mbinga mjini ,Songea mjini na vijijini uchumi wa mtu mmoja mmoja upo
 
Mbona wapo? yupo Nepi na bi Mashavu
 
Kusini Wana maeneo ni makubwa Sana...sema watu wao hawana muda na mambo ya nchi, wao ilimradi wameiona Leo basi inawatosha.
 
Huku walio elimika ni aslimia 0.6 .
Huku mwaka 2025 bado kulikuwepo madiwani wasiojua kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili.
Huku asilimia 85 ni hao kijani na hata maendeleo yako chini sana ukilinganisha na maeneo mengi ya Tanganyika.
 
Kusini wako bize na manyago,kuvaa shanga,vigodoro na madambusi.

Mwendo wa kupigana miti tu na kulewa berenge
kuna mizizi flan inachemshwa kama miogo vile
jioni wanatembeza ya kuongeza nyege wamakonde wana balaa
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Muna bugia mbaazi na upupu muna saza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…