Watu wa MicroFinance wanaopiga simu kutafuta wateja, wanatoa wapi namba?

Watu wa MicroFinance wanaopiga simu kutafuta wateja, wanatoa wapi namba?

Kiukweli sisi ambao tuko kwenye field ya marketting, Tutawapigia sana.

Zama za biashara zimebadirika sana, sio tena kukaa ofisini na kusubiri wateja, kuna kumfata officine/Nyumbani kulingana na potential yake n kuna hyo ya kupiga simu.

Japokua watanzania wengi wako so negative, ukimuambia mikopo anahisi kama unatala kumchulia anaweza akakutukana 😀

Anya way. Mtatusamehe ila tutawapigia sana, mpaka mtu block, Japo mm sikopeshi
 
Wasimamiz km ni BOT bas wanawapa mamlaka sana. Mpk kutupigia kwa namba zetu binafsi
BOT wanahusika na Finance Regulation peke yake, hili suala la faragha za watu ni kazi ya TCRA.

Kiufupi utakuja kufahamu kwamba hivi vitaasisi uchwara vinamilikiwa na vigogo wa serikali ya TZ ndiyo maana kuna ujinga mwingi mno.​
 
tena vigogo kweli maana havifungiwagi wala kupewa onyo. Vinaoperate kama kawaida
 
Back
Top Bottom