Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alitaka kukutapeli amaKuna huyu muhindi na kiingereza chake cha kihindi kanitaja kwa majina matatu na video call juu
Mpaka sasa sijaelewa bado detail zangu kazipataje bahaView attachment 3151353ti yake nilikua naendesha muda alio piga
Jamaa itakua alitaka kutapeli ingawa sijaweza msikiliza nilikua naendesha na migari yetu hii ya ajabu ajabu inaunguuruma kama mashine za kukobolea mahindi ndio kabisaHuyu alitaka kukutapeli ama
Mara nyingi hawa ni wadukuzi wa account
Mimi nadhani Mamlaka inayohusika na udhibiti wa Mambo ya Fedha (Regulatory Authority) haiwajibiki ipasavyo.Kwanini inakua endelevu na kampuni zinaongezeka mkuu
Wasimamiz km ni BOT bas wanawapa mamlaka sana. Mpk kutupigia kwa namba zetu binafsi
Hivi hakuna namna ya kuwashtaki? Vitu vingine unaweza kuua mtuMimi niliwaambia sitaki mkopo na nikawaambia wasinipigie tena, vikanijibu kwa dharau tutakupigia tuu
tena vigogo kweli maana havifungiwagi wala kupewa onyo. Vinaoperate kama kawaidaBOT wanahusika na Finance Regulation peke yake, hili suala la faragha za watu ni kazi ya TCRA.
Kiufupi utakuja kufahamu kwamba hivi vitaasisi uchwara vinamilikiwa na vigogo wa serikali ya TZ ndiyo maana kuna ujinga mwingi mno.