Watu wa mikoani (Vijijini), badilikeni too much!

Hizo mambo wala sijui kinachoendelea huko Twitter na insta nazungumza ninachokipitia wakati huu
 
Sina cha kukujibu ila ushauri wangu acha ushabiki zingatia maudhui
 
mkuu wazoee hivyo
nikirudi mkoani kwetu ni lazima nitenge muda wa show off kuwagalagaza vijana niliowaacha huko na biaaaa
siwezi rudi mkoa kinyonge hata kama ni kwa matatizo na emrgency nitafurukuta nikae sawa
 
Ila kwenda kununua utelezi Sinza sio tatizo???[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9].
Huoni raha watu wanapojisikia fahari kwaajili yako?
Hebu kunjua moyo.
Nikunjue paka wapi, nitoe laki 6 for three days uniambie nikunjue moyo, au unafikiri mm ni mmoja wa wale wachimba migodi kule mererani?[emoji848]
 
mkuu wazoee hivyo
nikirudi mkoani kwetu ni lazima nitenge muda wa show off kuwagalagaza vijana niliowaacha huko na biaaaa
siwezi rudi mkoa kinyonge hata kama ni kwa matatizo na emrgency nitafurukuta nikae sawa
Haya kifurukutu nimekusikia[emoji4]
 
Kwa taarifa yako utajiri utausikia kwenye redio yako ya mbao. Watu wanafanya savings kwa ajili ya investments au emergency wewe unafanya savings ili ugawe hela
 
Hilo sio suala la ukitoka dar kwenda mkoani ni suala la mtu kutoka Mjini kwenda kijijini regardless, ni wapi sababu vijijini kuna notion kuwa watu wa mjini wana "hela" kutokana na gharama za maisha..

secondly inategemeana na ukoo wako huko kijijini wamelelewaje na wana hali gani, ukiona watu wengi wanashoboka na uwepo wako possibility kubwa ni wewe umewapa picha hiyo au huko kijijini kwenu umaskini na kuomba omba ni part ya maisha kwa nyie mnaoonekana kufanikiwa "Royals"

kingine sometimes Kupokea zawadi kutoka mjini na kutoa za kijijini kupeleka mjini ni part ya tamaduni tu.. Not necessarly ina maanisha wanaokuomba wana dhiki sana kiasi usipowapa watakufa
 
Ni maoni pia hatuna budi kuyaheshimu
 
Mada yako nafikiri haiwahusu wale ambao kila wakipata vijisenti lazima wakimbilie huko nyumbani kwenda kutamba, kuvimba na kuuza sura kuwa wana hela.
Kuonesha ndinga ..lazima uombwe hela tu
 
Hivyo unavyofanyiwa na watu wa mikoani/vijijini ndivyo na nyie wa mjini mnavyowafanyia wazungu wakija kutalii. Mkiwaona tu wazungu mnaanza kuwaombaomba hela hadi mpaka wameshatengeneza kasystem ka kuhabarishana namna ya "kudeal" na watanzania wanapokuja Tanzania. Mnadhani kila mzungu ni tajiri?
 
Mikoani kuna ufala mwingi sana zaidi ya huu uliousema
 
Ukweli lazima usemwe no mattet what[emoji41]

Wewe unaonekana hujui mbinu za kuishi na watu wa kijijini. Acha nikufundishe ujanja.

Next time ukienda kijijini, tenga shilingi laki moja au mbili. Nunua pombe nyingi za kienyeji, pika chakula kingi, ita hao ndugu jamaa na marafiki mjumuike pamoja kula na kunywa na kufurahi. Baada ya hapo usi intertain shida za mtu mmoja mmoja! Wakati mwingine watu hawa wanataka tu kula pilau, nyama au kunywa pombe, sio kama wana shida kiviile maana hata ulipokua haupo walikua wanaishi fresh tu..

Ukiendekeza kugawa hela kwa kila anaekuja utakua unalia lia kila siku humu.
 
Hiko kijiji chenu kiboko
 
Point ni kwamba huna hela basi
Sawa mkurugenzi kwa mawazo yako unafikiri hata wenye hela wanagawa hovyo bila mpangilio kwa kuwa waliziokota[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…