Aisee hii kwel kabisa toka nizamie mjini Sasa Kila nikiwaza kwenda kuwasalimu nikiwaza hili swala naahirisha😂Habari za muda huu wana Jf.
Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani[emoji35]. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.