Watu wa mikoani (Vijijini), badilikeni too much!

Watu wa mikoani (Vijijini), badilikeni too much!

Mimi nilikuwa nikirudi kutoka likizo za shule advance watu waniomba pesa wakidhani sijui nishayapatia maisha..yaani jitu na ndevu zake ananiomba mimi chaliii hela..

Sema nowdays nikirudi mimi ni kuwanunulia tu pombe maana wanaoomba wengi ni wanywaji specifically kwa ninakotokea.
 
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani[emoji35]. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.

Ila hiyo dhana ya kudhani mtu nakitoka mjini anakuja na mafurushi ya hela itoeni kabisa kilini mwenu[emoji41]. Nyie ndio mnaofanya watu waonekane wameasi kwao, unaweza kuta mtu amekaa miaka zaidi ya mitano (5) hajaenda kwako.

Kwa namna moja ama nyingine hii inaweza kuwa sababu moja wapo.

Mnaomba sana mpaka mnaboa...inafika wakati unatamani kwenda kusalimia ndugu wengine lakini unakosa uhuru kutokana na balance uliyonayo na sisi wengine tumelelewa vyema huwezi kumnyima mtu mzima hela.

Yani nimefika kijijini leo siku ya tatu lakini mpaka nakosa amani, yani mtu anatoka nyumbani kwake tena sio hata ndugu wa karibu, anakuja kabla hata hujaamka kisa kaambiwa huko kilabuni kuna mtoto wa fulani ametoka DAR kuja kusalimia, hivyo hawezi kosa chochote.

Atakaa hapo ale anywe na akiondoka umpe chochote, leo asubuhi nimekuta watu 6, [emoji44][emoji20][emoji20][emoji20] achilia mbali juzi na jana...kila mtu ana badget zake.

Leo imebidi nimwite mzee chemba. Nimemkabidhi fungu lao, na nikamwambia kabisa nimebaki na hela ya mafuta ya kunirudisha Dar, sasa kama wewe ndio umewaambia nipo hapa kawape hizo zako na mkeo.

Siku tatu nitumie 600k just kwa kugawa gawa tu nakulisha familia za watu wasijue hata mjini na ishije[emoji20][emoji850][emoji848][emoji848][emoji848]

Mtanisamehe kwa kweli[emoji120], kama nitatafsirika nina roho mbaya acha ionekane hivyo.

Mliokutana na huu upuuzi hebu changieni tupate la kujifunza.
Hii tabia imekithiri sana kilimanjaro uko ni tatizo kwa wazee wa kule ndio maana kipindi cha Xmas na Mwaka mpya idadi ya vifo vya wazee inaongezeka sababu ya kutoona vijana wao wakija kuwapooza na chochote kitu alafu jirani yake mtoto wake kaenda na V8 na ndio nyie mleta post na bado mnawatolea nje, wanapataga heart attack sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
[emoji3]wa kijijini kwenu waambie wajirekebishe. Sisi kijijini kwetu ukija utafrahi[emoji3]
 
Nimeona hii trend ya kulaumu watu wa mikoani na wa Dar pia imeanzia Instagram au Twitter ..

Watu wa mikoani wanadhani huku Dar pesa tunaokota..

Na wa mikoani wakaanza kujibu..

Watu wa Dar mnafikiri huku Mwanza samaki tunaokota?

Watu wa Dar mnafikiri Singida ma ma housegirl wanaokotwa?

Watu wa Dar mnafikiri Mtwara korosho ni za kuokota?..

Wa Dar mnafikiri Mbeya mchele no wa kuokota?

It never stops hadi naiona hii thread leo
Was dar mnafikiri Huku Nyasa dagaa tunaokota[emoji1787]
 
Sio kweli kama sisi wa mikoani omba omba mtu anaweza kuwa mjini ila ukakimbizwa mbali sana na mtu wa shamba, maisha hayako kama zamani.
 
Huu ni uzi wa mwendelezo wa harakati za kuubomoa ujamaa mnakosa heri na baraka za wazee ndugu na jamaa wa kijijini kirahisi sana na mnaona ni vitu vya mjadala wa kuwashinikiza wengine waendelee kuubomoa ujamaa huo.
Nafurahi ninapofika kijijini ninavyokirimiwa na kila aina ya watu wanaonifahamu wengine hunipa mazao, mifugo (kuku) na kunionesha upendo wa hali ya juu Mimi ni nani hadi changu kidogo nilichonacho nisigawanenao ndugu zangu HAPANA TENA HHAPANA nawaoenda ndugu zangu wa kijijini mkiniona nimefika panapostahili kuniomba niombeni ninacho nitawapa kama sina zidini kuniombea kheri nipate. Nafahamu maisha ya kijijini.
Point yangu ni kwamba kila kitu kina kiasi hata unaupendo vipi huwezi kugawa pesa kijiji kizima, rai yangu ni kwamba wasione kila kitu kinawezekana wawe waelewa na ustaarabu, kila mwanadamu mwenye akili timamu ana soni, kuna vitu vingine unapaswa kujiongeza sio lazima uambiwe.
 
Ukifa hao ndo watakaokuja kukuchimbia kaburi, mambo mengine kama yanakera kutoka kwa ndugu zako wasitiri kwa kukaa kimya kuwatuhumu kwenye mitandao ya kijamii ni ushamba
Umeona sehemu nimezungumzia ndugu hapo, by the way hunijui so hata ndugu zangu huwajui pia....nawadhalilishaje kwa mfano?
 
Karibu Tena kijijini usisahau kuja na hela nyingi[emoji23][emoji23]
Endelea kusubir hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Humu uliowaandikia wote wa mjini hakuna mtu wa aina ya unaowazungumzia. Awe JF halafu akusubiri wewe wa mjini umpatie 2000 au 1000? Hakuna. Umejisumbua. Rudi kijijini kwenu kawaambie uso kwa uso.

Hata hivyo mimi nikienda Bush kwetu Mwakaleli nahakikisha nina change za elfu mbilimbili za 40,000 au 50,000 ambazo ntawapa wasio ndugu wa karibu. Nikifika ni mwendo wa kusambaza upendo tu. Kuna furaha katika kutoa kuliko kupokea. Hayo ni maisha ya kawaida ya Mwafrika

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Rudia nilichoandika utaelewa nini nilimaanisha
 
Kuna kitu kinahitwa "Black Tax". google utapata majibu. Hayo hatuwezi kuyakwepa kwa sasa labda kizazi kijacho.
Mzungu alioa binti wa kibantu na siku ya kwenda kijijini binti anashikwa huku na huko akiombwa pesa. Sasa baada ya kuishiwa akawa anamwomba Mzungu wa watu pesa. Yaani mzungu alishangaa sana. Afrika tuna shida nyingi wewe acha tu. Ukitoboa kuna msururu mrefu wa watu wanaokusubiri kuwasaidia.
Kitu cha kwanza ku deal nacho ni kubadili mtazamo, ukiangalia mambo mengi ni kujiendekeza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wana mbwembwe..
Balaaa....unaweza ukashangaa akagawa akakosa mpaka nauli ya kurudi kazini kuliko mpatia hizo pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nilikuwa nikirudi kutoka likizo za shule advance watu waniomba pesa wakidhani sijui nishayapatia maisha..yaani jitu na ndevu zake ananiomba mimi chaliii hela..

Sema know days nikirudi mimi ni kuwanunulia tu pombe maana wanaoomba wengi ni wanywaji specifically kwa ninakotokea.
Yah upo sahihi mkuu
 
Hii tabia imekithiri sana kilimanjaro uko ni tatizo kwa wazee wa kule ndio maana kipindi cha Xmas na Mwaka mpya idadi ya vifo vya wazee inaongezeka sababu ya kutoona vijana wao wakija kuwapooza na chochote kitu alafu jirani yake mtoto wake kaenda na V8 na ndio nyie mleta post na bado mnawatolea nje, wanapataga heart attack sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifanya nicheke ungemjua dingi yangu alivyo na dharau nusingeongea hivyo
 
Kwani wanashindwaje kupata nauli wajiunge nasi huku mijini?!!!!
 
Sio kweli kama sisi wa mikoani omba omba mtu anaweza kuwa mjini ila ukakimbizwa mbali sana na mtu wa shamba, maisha hayako kama zamani.
Hilo mbona liko wazi, pia sijazungumza kuhusu mafanikio...ila pia nimesema baadhi siyo wote
 
Kitu cha kwanza ku deal nacho ni kubadili mtazamo, ukiangalia mambo mengi ni kujiendekeza.
Ni uchoyo tu na ubinafsi. Wa mijini wenyewe wanamtegemea wanaotoka vijijini waende mjini na Michele, unga, bata,.

Nikuambie ukweli katika hela ulizo nazo zingine umewashikia wanakijiji Mungu kazipitisha kwako. Hivyo lazima uwape haki yao.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom