Watu wa mikoani (Vijijini), badilikeni too much!

Ni uchoyo tu na ubinafsi. Wa mijini wenyewe wanamtegemea wanaotoka vijijini waende mjini na Michele, unga, bata,.

Nikuambie ukweli katika hela ulizo nazo zingine umewashikia wanakijiji Mungu kazipitisha kwako. Hivyo lazima uwape haki yao.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Duh....Tanzania tunasafari ndefu sana[emoji848]
 
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani[emoji35]. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.

Ila hiyo dhana ya kudhani mtu nakitoka mjini anakuja na mafurushi ya hela itoeni kabisa kilini mwenu[emoji41]. Nyie ndio mnaofanya watu waonekane wameasi kwao, unaweza kuta mtu amekaa miaka zaidi ya mitano (5) hajaenda kwako.

Kwa namna moja ama nyingine hii inaweza kuwa sababu moja wapo.

Mnaomba sana mpaka mnaboa...inafika wakati unatamani kwenda kusalimia ndugu wengine lakini unakosa uhuru kutokana na balance uliyonayo na sisi wengine tumelelewa vyema huwezi kumnyima mtu mzima hela.

Yani nimefika kijijini leo siku ya tatu lakini mpaka nakosa amani, yani mtu anatoka nyumbani kwake tena sio hata ndugu wa karibu, anakuja kabla hata hujaamka kisa kaambiwa huko kilabuni kuna mtoto wa fulani ametoka DAR kuja kusalimia, hivyo hawezi kosa chochote.

Atakaa hapo ale anywe na akiondoka umpe chochote, leo asubuhi nimekuta watu 6, [emoji44][emoji20][emoji20][emoji20] achilia mbali juzi na jana...kila mtu ana badget zake.

Leo imebidi nimwite mzee chemba. Nimemkabidhi fungu lao, na nikamwambia kabisa nimebaki na hela ya mafuta ya kunirudisha Dar, sasa kama wewe ndio umewaambia nipo hapa kawape hizo zako na mkeo.

Siku tatu nitumie 600k just kwa kugawa gawa tu nakulisha familia za watu wasijue hata mjini na ishije[emoji20][emoji850][emoji848][emoji848][emoji848]

Mtanisamehe kwa kweli[emoji120], kama nitatafsirika nina roho mbaya acha ionekane hivyo.

Mliokutana na huu upuuzi hebu changieni tupate la kujifunza.
Tumekuelewa mkuu. Na nyinyi mkija muache kubeba mazao yetu na kujaza kwenye magari yenu. Aidha, mkome kudinya mademu zetu blaadfakin nyie. Mnakuja na vijinzi vyenu mibato, vimechanikachanika mapajani, mademu zetu wazuriwazuri wanawashobokeeni mnawadinya kinoma. Mkiondoka nyuchi zao zote zina sugu. Pumbafu nyie. Sasa mkome!
 
Siku zote watu wanakosea padogo sana, na nashindwa kuwaelewa, hivi kwanini ukose raha kila unapotaka kwenda kwenu kuwasalimia Wazazi wako/ndugu zako iwe tatizo?

Wazazi wako kukuona wewe ikiwa mnaishi mbali ni faraja tosha, na hawana shida na Pesa yako.

Muhimu wewe kila unapoenda kwenu wafikirie Wazazi wako, na ndugu zako wa karibu. Hao jamaa wengine ni kutokana na mazoea uliyojiwekea nayo ndio maana wanajazana kwenu, usingekuwa na mazoea hayo wasingekuja
 
Tumekuelewa mkuu. Na nyinyi mkija muache kubeba mazao yetu na kujaza kwenye magari yenu. Aidha, mkome kudinya mademu zetu blaadfakin nyie. Mnakuja na vijinzi vyenu mibato, vimechanikachanika mapajani, mademu zetu wazuriwazuri wanawashobokeeni mnawadinya kinoma. Mkiondoka nyuchi zao zote zina sugu. Pumbafu nyie. Sasa mkome!
Punguza hasira bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mada yako nafikiri haiwahusu wale ambao kila wakipata vijisenti lazima wakimbilie huko nyumbani kwenda kutamba, kuvimba na kuuza sura kuwa wana hela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matatizo mengine tunajitafutia wenyewe.

Kuna mwaka nilikuwa likizo, kutoka US, mtu nisiyemjua alijichanganya kwetu, akaniomba hela kizembe, nikamwambia sina, kirahisi, bila aibu.

Habari ikaishia hapo. Nikaendelea na mambo mengine.

Sasa tatizo liko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nikiendaga msalimia baba angu kijijini kwetu uwa najipanga sana uwa nachechi elfu 5 na elfu 2 kibao nachenji kabasa elfu 5 za laki zinakuwa 20 elfu 2 za laki nakuwa nimemaliza kazi yani nikienda kwa mjomba nikiombwa ela mm kazi yangu kutoa tuy cjali najua kabisa iyo laki 2 kwa muda wangu wa wiki 2 itawatosha raia wote watakao niomna nimikutana nao chamsingi mkuu usiwape ela nyingi wakikuomba ww toa elfu 5 tu uwa wanashukuru mno arafu usipende lalamika sana..
Huu mtindo anao baba na mama. Yaan akiombwa anatoa elf 5, hahaha hata hajari yeye.
 
Mkuu acha hiyo roho mbaya kwani ukifanya hivyo mara moja kwa miaka 5 kuna shida gani? Mie nafkiri ni wewe ndo huwa hujipangi huko mikoani kwa ndugu jamaa na wazazi!

Hebu fikilia kama kila siku unaweka akiba shilingi mia tano tu (Tshs 500), ukifanya hivyo miaka 5 , hesabu yake ni : 500 X siku 360 X miaka 5 , ambayo ni TSHS 912,500 ! Hii ukienda huko ukawagawagawa za mvinyo na biskuti mbona fresh tu unajipatia heshima na hadhi kubwa ya bure kabisa!

Shida nyinginne watu wa jijini tubadilike maana tunapokwenda mikoani wennngi tuna tabia ya kupretend kanakwamba tuna maisha sana hapa bongo lakini kumbe ndo hivi ukienda wakikutoa upepo kidogo unakimbilia JF kuanzisha uzi wa kuwapaka nduguzo hivi nani alikushikia kisu au bunnduki kwamba lazima utowe pesa??
Hakika kama tungekua tunamake kwa njia hiyo Leo hii Tanzania isingekua masikini
 
Mimi nilikuwa nikirudi kutoka likizo za shule advance watu waniomba pesa wakidhani sijui nishayapatia maisha..yaani jitu na ndevu zake ananiomba mimi chaliii hela..

Sema nowdays nikirudi mimi ni kuwanunulia tu pombe maana wanaoomba wengi ni wanywaji specifically kwa ninakotokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] advance unaombwa hela? Khaaah
 
Hii tabia imekithiri sana kilimanjaro uko ni tatizo kwa wazee wa kule ndio maana kipindi cha Xmas na Mwaka mpya idadi ya vifo vya wazee inaongezeka sababu ya kutoona vijana wao wakija kuwapooza na chochote kitu alafu jirani yake mtoto wake kaenda na V8 na ndio nyie mleta post na bado mnawatolea nje, wanapataga heart attack sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nimecheka hapa mbavu sina daaah, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumekuelewa mkuu. Na nyinyi mkija muache kubeba mazao yetu na kujaza kwenye magari yenu. Aidha, mkome kudinya mademu zetu blaadfakin nyie. Mnakuja na vijinzi vyenu mibato, vimechanikachanika mapajani, mademu zetu wazuriwazuri wanawashobokeeni mnawadinya kinoma. Mkiondoka nyuchi zao zote zina sugu. Pumbafu nyie. Sasa mkome!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah kimeumana lol
 
Tumekuelewa mkuu. Na nyinyi mkija muache kubeba mazao yetu na kujaza kwenye magari yenu. Aidha, mkome kudinya mademu zetu blaadfakin nyie. Mnakuja na vijinzi vyenu mibato, vimechanikachanika mapajani, mademu zetu wazuriwazuri wanawashobokeeni mnawadinya kinoma. Mkiondoka nyuchi zao zote zina sugu. Pumbafu nyie. Sasa mkome!
Pole sana mkuu..

Lakini hao mademu zenu hatutaacha kuwadinya wakitushobokea.
 
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani[emoji35]. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.

Ila hiyo dhana ya kudhani mtu nakitoka mjini anakuja na mafurushi ya hela itoeni kabisa kilini mwenu[emoji41]. Nyie ndio mnaofanya watu waonekane wameasi kwao, unaweza kuta mtu amekaa miaka zaidi ya mitano (5) hajaenda kwako.

Kwa namna moja ama nyingine hii inaweza kuwa sababu moja wapo.

Mnaomba sana mpaka mnaboa...inafika wakati unatamani kwenda kusalimia ndugu wengine lakini unakosa uhuru kutokana na balance uliyonayo na sisi wengine tumelelewa vyema huwezi kumnyima mtu mzima hela.

Yani nimefika kijijini leo siku ya tatu lakini mpaka nakosa amani, yani mtu anatoka nyumbani kwake tena sio hata ndugu wa karibu, anakuja kabla hata hujaamka kisa kaambiwa huko kilabuni kuna mtoto wa fulani ametoka DAR kuja kusalimia, hivyo hawezi kosa chochote.

Atakaa hapo ale anywe na akiondoka umpe chochote, leo asubuhi nimekuta watu 6, [emoji44][emoji20][emoji20][emoji20] achilia mbali juzi na jana...kila mtu ana badget zake.

Leo imebidi nimwite mzee chemba. Nimemkabidhi fungu lao, na nikamwambia kabisa nimebaki na hela ya mafuta ya kunirudisha Dar, sasa kama wewe ndio umewaambia nipo hapa kawape hizo zako na mkeo.

Siku tatu nitumie 600k just kwa kugawa gawa tu nakulisha familia za watu wasijue hata mjini na ishije[emoji20][emoji850][emoji848][emoji848][emoji848]

Mtanisamehe kwa kweli[emoji120], kama nitatafsirika nina roho mbaya acha ionekane hivyo.

Mliokutana na huu upuuzi hebu changieni tupate la kujifunza.
Wengi hasa ni wachagga
 
Back
Top Bottom