Watu wa mikoani (Vijijini), badilikeni too much!

Mimi nilikuwa nikirudi kutoka likizo za shule advance watu waniomba pesa wakidhani sijui nishayapatia maisha..yaani jitu na ndevu zake ananiomba mimi chaliii hela..

Sema nowdays nikirudi mimi ni kuwanunulia tu pombe maana wanaoomba wengi ni wanywaji specifically kwa ninakotokea.
 
Hii tabia imekithiri sana kilimanjaro uko ni tatizo kwa wazee wa kule ndio maana kipindi cha Xmas na Mwaka mpya idadi ya vifo vya wazee inaongezeka sababu ya kutoona vijana wao wakija kuwapooza na chochote kitu alafu jirani yake mtoto wake kaenda na V8 na ndio nyie mleta post na bado mnawatolea nje, wanapataga heart attack sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
[emoji3]wa kijijini kwenu waambie wajirekebishe. Sisi kijijini kwetu ukija utafrahi[emoji3]
 
Was dar mnafikiri Huku Nyasa dagaa tunaokota[emoji1787]
 
Sio kweli kama sisi wa mikoani omba omba mtu anaweza kuwa mjini ila ukakimbizwa mbali sana na mtu wa shamba, maisha hayako kama zamani.
 
Point yangu ni kwamba kila kitu kina kiasi hata unaupendo vipi huwezi kugawa pesa kijiji kizima, rai yangu ni kwamba wasione kila kitu kinawezekana wawe waelewa na ustaarabu, kila mwanadamu mwenye akili timamu ana soni, kuna vitu vingine unapaswa kujiongeza sio lazima uambiwe.
 
Ukifa hao ndo watakaokuja kukuchimbia kaburi, mambo mengine kama yanakera kutoka kwa ndugu zako wasitiri kwa kukaa kimya kuwatuhumu kwenye mitandao ya kijamii ni ushamba
Umeona sehemu nimezungumzia ndugu hapo, by the way hunijui so hata ndugu zangu huwajui pia....nawadhalilishaje kwa mfano?
 
Karibu Tena kijijini usisahau kuja na hela nyingi[emoji23][emoji23]
Endelea kusubir hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rudia nilichoandika utaelewa nini nilimaanisha
 
Kitu cha kwanza ku deal nacho ni kubadili mtazamo, ukiangalia mambo mengi ni kujiendekeza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wana mbwembwe..
Balaaa....unaweza ukashangaa akagawa akakosa mpaka nauli ya kurudi kazini kuliko mpatia hizo pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yah upo sahihi mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifanya nicheke ungemjua dingi yangu alivyo na dharau nusingeongea hivyo
 
Kwani wanashindwaje kupata nauli wajiunge nasi huku mijini?!!!!
 
Sio kweli kama sisi wa mikoani omba omba mtu anaweza kuwa mjini ila ukakimbizwa mbali sana na mtu wa shamba, maisha hayako kama zamani.
Hilo mbona liko wazi, pia sijazungumza kuhusu mafanikio...ila pia nimesema baadhi siyo wote
 
Kitu cha kwanza ku deal nacho ni kubadili mtazamo, ukiangalia mambo mengi ni kujiendekeza.
Ni uchoyo tu na ubinafsi. Wa mijini wenyewe wanamtegemea wanaotoka vijijini waende mjini na Michele, unga, bata,.

Nikuambie ukweli katika hela ulizo nazo zingine umewashikia wanakijiji Mungu kazipitisha kwako. Hivyo lazima uwape haki yao.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…