New member!!Kama ni kweli polisi wanapiga raia basi ni heri majambazi watumie silaha zao hizo wawaue zaidi hao polisi.. yaan wangeua kama 100 hivi tungeheshimiana hapa...
Kwanini POLISI hawatumii mbinu rafiki kwa raia..?? Kupiga sio kufanikisha.. watulie na wawe na mbinu za muda mrefu hata miaka m3 ikiwezekana..
Kama kweli kitu kama hicho kimetokea polisi wategemee sifuri kufanikisha zoezi lao hatuendi hivyo hata wakati wa vita tulifanikiwa kwa ushirikiano na wananchi wa Uganda ila tahadhari lazima iwepo kwa sababu unakuwa hujui mwema na msaliti
Hakuna raia mwema hapo, hayo majambazi ni watoto wao, ndugu zao, wajomba zao, na waume zao - wanakula kwao na wanawaonaDaah kwahiyo wanamalizia Hasira zao kwa raia wema?
Sasa hapo ni kuongeza chuki na raia wema hawatawasaidia polisi kama wataendelea na uonevu huo, badala yake watawasaidia majambazi!
Mrs DAB kama kawaida yakoNatumaini wenye viti vya serikalini hata mbunge wa maeneo hayo nao waongelee, ili watueleze kinachojiri kiundani.
Bila hivyo habari hii itaonekana ni uongo tu.
Mkuu weka mbinu mbadala hapa tofauti nahiyo ya kuwatisha iliwatoetaarifa za wahalifu.
Wasipo wafichua wahalifu watakuwa wanawasaidia police kilamara, wasisubiri kufundishwa jinsi ya kuisaidia police.
Wawe wazalendo tu hakuna namna.
100%Kama polisi anakuja anapiga RAIA asiyekuwa na hatia, ni bora kumsaidia jambazi ampige polisi anayepiga raia.
Kichwa majiPolisi wameuawa,wao wanashangilia!! Viongozi wa mitaa wamepigwa risasi hadi kupoteza maisha,wenyeji wanakenua meno tu.Nyambafu kabisa. Na wapigwe tu,pigeni hadi wapate akili.
Polisi wameuawa,wao wanashangilia!! Viongozi wa mitaa wamepigwa risasi hadi kupoteza maisha,wenyeji wanakenua meno tu.Nyambafu kabisa. Na wapigwe tu,pigeni hadi wapate akili.
Hii kitu mm leo imenikumba ila mm sikupigwa ila wanacho fanya police wetu si haki ata kidogo kwa raia maana pale walipoweka check point pamekua na hofu tupo asa watapata vip taarifa kama raia wenyewe mnawatisha wanakua wakali watemi wapunguze ubabe ili kazi iwe rais kuwapata awo waarifu lakin kwa mtindo ule watakamata wakulima wakiwa wanatoka shamba na mapanga na mjembe alafu wataambiwa waarifu
Wakifa tena unafikiri nani atahuzunika?Hakuna Namna. Viboko Vitembezwe Tu Tena Sana TU
Nguvu ndiyo intelijensia ya majeshi yetu~AFRICAN INTELEGENCY;-
RAIA NDIYO INFORMER WA WAHALIFU NUMBER ONE...!,
•KUWA PIGA AU KUWASHURUTISHA KWA LOLOTE NI KUWAOGOFYA..!/
MUNGU TUPE HEKIMA NA BUSARA.