Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Yan ni wewe tu rami na mataa had kwa sananeNaskia home saiz town ni rami na taa kila kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan ni wewe tu rami na mataa had kwa sananeNaskia home saiz town ni rami na taa kila kona
Aisee december hii nikiwa njema lazima nije kuwaona home nimewamis washkaj zangu wa iringo, mkendo nimewamis sanaYan ni wewe tu rami na mataa had kwa sanane
Vijana rudini nyumbani mkasalimie!! Nilikua kila likizo lazima nije Dar,nikirudi najiona mjanja sana ila ulikua utoto,nilikua nakusanya jersey karume 2000 nawaletea wana zawadi...nimeishi mkendo kati,kennedy,kamnyonge..kulikua na mwalimu azimio mkali wa maths nimeshau jina lake enzi zetu kulikua na competition ya tuition..ukija nyasho sikawa,kibandiko,Musoma alikuwepo machela na mwenzake walikua wanaitana mapacha,Aisee december hii nikiwa njema lazima nije kuwaona home nimewamis washkaj zangu wa iringo, mkendo nimewamis sana
Sio mwalim Tem kweli?Vijana rudini nyumbani mkasalimie!! Nilikua kila likizo lazima nije Dar,nikirudi najiona mjanja sana ila ulikua utoto,nilikua nakusanya jersey karume 2000 nawaletea wana zawadi...nimeishi mkendo kati,kennedy,kamnyonge..kulikua na mwalimu azimio mkali wa maths nimeshau jina lake enzi zetu kulikua na competition ya tuition..ukija nyasho sikawa,kibandiko,Musoma alikuwepo machela na mwenzake walikua wanaitana mapacha,
Wa kibini ilikuwa karifonia kwenda kuangalia xxx usiku😂😂😂Wale wa majita road vibanda umiza ni kwa eddy na bavoni
Sehemu bora kabisa musoma kuwahi kutokea ilikuwa diocese ya musoma( kituo cha matumaini ya vijana).
Kilikuwa kituo bora cha michezo na masomo, vyote vilitolewa bure kabisa kilikuwa kisima cha maarifa, kituo hiki cha kanisa romani cathoric baada tu ya kufungwa ndipo yalipoanza kuibuka makundi ya uharifu na wahuni
Pale ilikuwepo michezo ya aina zote unayoifahamu wewe, maktaba na madarasa ya kufundishia fani mbalimbali ikiwemo uchoraji n.k
Vijana na watu wote walikuwa wanakutana pale kushiriki michezo na masomo hivyo hapakuwa na makundi ya kihuni, zilikuwepo timu za mipira na michezo mingine pamoja na wasomi.
Sijaona kikiongelewa humu mkumbuke na mazuri, msikumbushane matukio ya wahuni tu.
Nilisoma hapo computer nilipokua nasubiri matokeo ya form four
napapata sana maana nilishakinukisha hapo balaaYeah..mzee kumbe unapapata fresh
ulikua mji gan labda takujuaDaah..we jamaa ntakuwa nakufaham maana mi pia nilikuwa pande hizo
kuna yule ticha wa mwembeni secondary alikua anaitwa Rama hivi bado yupo.Huyo ticha alikua miyeyusho hatari kipindi cha likizo alikua na twishen pale mwembeni sec nakwambia usipomlipa hela yke anakuvua viatu 😂😂Sio mwalim Tem kweli?
aise mwaka jana nimeenda kwa bavoni kajenga banda lingine zuriWale wa majita road vibanda umiza ni kwa eddy na bavoni
Yes tem..Sio mwalim Tem kweli?
😅😅😅😆mimi mtupuWale wa majita road vibanda umiza ni kwa eddy na bavoni
Enzi zake paliitwa Mbaoni, Kamunyonge Kabla ya Mwalimu Masanja kulikuwa na Mwalimu Ally Muhaya mmoja hivi kwa sasa Marehemu, nilimkuta Bukoba Mjini hapo National Housing, na Akanikumbuka. Walimu wa zamani sijui walikuwa na kumbukumbu kiasi gani.Inaendelea.
Labda kwa kuwakumbusha vijana wa JK pale musoma kulikuwa na meli ya abilia na mizigo Mv. Victoria ilikuwa ikitia nanga adhuhuri ya saa 12 ambapo abilia wake ni wale pangu pakavu wametoka Bongo au Tigite a.k.a Kigoma na wameshuka mwanza na kupakia kwenye meli mpaka musoma, kumbuka enzi hizo ukikata tiketi Dar unaenda Musoma kwa kutumia vyombo vya TRC.
Na nakumbuka kampuni za mabasi kama Nyanja Bus service, Maratco nk yalikuwa yakielekea huko majita, Butata mpaka Bukima.
Upande wa elimu kulikuwa na ushindani mkubwa kuanzia primary to secondary, walimu wengi hawakutaka shule zao zisionekane, waliosoma Kamunyonge miaka ya 1980 enzi za mwalimu mkuu Massanja mnaweza kukumbuka.
Enzi hizo kwa wanafunzi waliosoma shule kama Mara sec, Mkendo sec, Mara Tech nk, mnakumbuka ushindani wa kufa mtu kwa shule hizi kwanza kwenye kufaulisha, pili kwenye kabumbu ambayo ilikuwa ikipigwa hapo kwenye viwanja vya mara secondary, yaani mpira kabla haujaisha wenye roho nyepesi kwa timu yao iliyoshinda wanaondoka mapema.
Viwanja vya kujirusha vilikuwa vichache sana pale Metropole ilikuwa ni kukesha so mchana inapigwa show ya watoto, ukienda Musoma hotel (daa hii hotel inanisikitisha sana) maana hakuna hotel iliyojengwa kwa ustadi wa hali ya juu na muonekano mzuri kama ile lakini imejifia, imekosa mwekezaji mwenye maono mazuri ya kuiendeleza matokea yake imekuwa gofu, 👇
View attachment 1633494
Katika pitapita zangu nchini hii hotel ilikuwa ya kisasa pamoja na kuwa ilijengwa up on a time, ilikuwa ukiwa upande wa ziwani na kuiangalia hiyo hotel ilikuwa nzuri hata kuliko zinazojengwa leo sehemu tofauti.
Hapo Musoma hotel kulikuwa na kiwanja kingine cha disco, linapigwa buzuku la maana ....
itaendelea...
holy holm
Hata Majani mwenyewe alishafariki.Yeah, alichomwa kisu na Majani wa West Lawama.
Davy kisamba,Lusato wote walikuwa washkaji zangu[emoji1787][emoji1787]hawa jamaa walikua wanafanya dolia ya mabishoo sasa enzi hizo mabishoo walikua wachache walikua wadogo zangu,bishoo lazima ilikua uwe wa kishua
David kisamba,juma kigera,magoma,cabin alikuwepo lusato a.k.a doctor sema walikua wanaazimana nguo sana...kulikua na walw madogo said heris