Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Yeah..huyo jamaa alikuwa noma nakumbuka kipindi anasakwa aliwahi kwenda mahakamani kuskiliza kesi ya mwenzie God akiwa amevaa nguo za kike naskia aliuwawa mahabusu kwa kupigwa sindanoJamaa alifia magereza akiwa mahabusu