Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Aisee december hii nikiwa njema lazima nije kuwaona home nimewamis washkaj zangu wa iringo, mkendo nimewamis sana
Vijana rudini nyumbani mkasalimie!! Nilikua kila likizo lazima nije Dar,nikirudi najiona mjanja sana ila ulikua utoto,nilikua nakusanya jersey karume 2000 nawaletea wana zawadi...nimeishi mkendo kati,kennedy,kamnyonge..kulikua na mwalimu azimio mkali wa maths nimeshau jina lake enzi zetu kulikua na competition ya tuition..ukija nyasho sikawa,kibandiko,Musoma alikuwepo machela na mwenzake walikua wanaitana mapacha,
 
Sio mwalim Tem kweli?
 
Wale wa majita road vibanda umiza ni kwa eddy na bavoni
Wa kibini ilikuwa karifonia kwenda kuangalia xxx usikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyakato kulikuwa na Masha na shebe
Sanane kulikuwa na Maela na korando, baadae akaja Jaji
 

Nimejifunza uchoraji pale alikuepo artist mmoja anaitwa jacky vipaji vimeibuliwa sanaa pale kulikuaa na team za mitaa za mpira wa miguu
 
Kuna malegend wa kufundisha mpira wa miguu musoma.
Uwanja wa mara alikuwepo Ize(sijui ndio linaandikwa hvyo.
Uwanja wa musoma primary alikuwa(had sasa hiv) Zamo.
Mshikamano kulikuwa na Mzee Jully alikuwa na matusi na viboko. Upewe pas utulize ovyo utasiki "k#m# la mama ako dogo unazimaje hivyo" hapo fimbo zinakuhusu
 
Sio mwalim Tem kweli?
kuna yule ticha wa mwembeni secondary alikua anaitwa Rama hivi bado yupo.Huyo ticha alikua miyeyusho hatari kipindi cha likizo alikua na twishen pale mwembeni sec nakwambia usipomlipa hela yke anakuvua viatu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Enzi zake paliitwa Mbaoni, Kamunyonge Kabla ya Mwalimu Masanja kulikuwa na Mwalimu Ally Muhaya mmoja hivi kwa sasa Marehemu, nilimkuta Bukoba Mjini hapo National Housing, na Akanikumbuka. Walimu wa zamani sijui walikuwa na kumbukumbu kiasi gani.

Enzi za Custom, nimepanda sana hizo Meli, Kuanzia MV.Butiama, Mv.Serengeti, MV.Bukoba, MV Victoria, na hata MV.Umoja ya Mizigo. Pale Mwanza kulikuwa na Clerius nadhani ilikuwa inavuta yale ma laiter.
Musoma kwetu Mura kumeharibika sana.

Naangalia story za vijana wa 2010 nacheka tu, kweli kila mtu ana zamani yake.
 
Yeah, alichomwa kisu na Majani wa West Lawama.
Hata Majani mwenyewe alishafariki.
West. LAWAMA Ni moja kati ya Gangs Zilizokuwa zinanipa heshima kubwa sana USwazi,hakukua hata na mmoja wa kunigusa sababu wote walikuwa ni watu tuliokuwa tunafahamiana.
Jamaica Mockers πŸ‡―πŸ‡² waliwahi kumTight mshikaji wangu mmoja Elly Mapaka (r.i.p)
Tena Bonny wasena akiwa leader wao.
West lawama kabla hawajakuwa na akina Dick,Magrey nk niliwapiga wa3 majani akiwa km kaka yao,kuanzia hapo wakawa washkaji.
Sema ni Mungu na maisha mabovu yaliyofanya nichomoke huo mji.
 
Davy kisamba,Lusato wote walikuwa washkaji zangu
Lusato classmate wangu K/nyonge Davy homeboy wangu sana sema naskia sa hv ni mtu wa Tungi Magita tena wanaliita Bojo.
Tumeshindana sana kuvaa HandBand(Rebon)
Yote sa hv ni story 😒 πŸ˜… πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…