Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao.
Musiwapangie sawa na utamaduni wenu.
Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais.
Yaani haijalishi. Jambo lolote litalofanywa na watendaji wa Serikali litakaloumiza hisia za Waislam kwa kipindi hili; watu hawa wataibuka na kusema msitugombanishe na Rais wetu, mama yetu na tunampenda.
Utafiti nilioufanya chadema ina nafasi kubwa ya kutoa viti vya ubunge na udiwani iwapo watachanga karata yao vizuri.
Kama walivyo wazanzibar tukisema leo tubadili katiba ili wao wawe na mamlaka zaidi ya kiutawala. Watasheherekea siku hiyo.
Vivyo hivyo kwa watu wa mwambao.
Chadema ina sera ya utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Iwapo chadema itafanya ushawishi wa siri kwaa watu wa mwambao, wakaandikishina kwa siri kuwa chadema ikishinda itaanzisha serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
Chadema ikawaachia majimbo ya mwambao wawaeke wagombea wanaowataka wao.
Ni wazi chadema itashinda serikali kwa idadi kubwa ya viti vya ubunge kuwezesha kutunga sheria na kuweza kusimamia sera yao ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
Hivyo hata Samia akishinda nafasi ya urais, hatokuwa na uwezo au maguvu aliyonayo sasa.
Ushauri wangu wa bure; Watz tuungane na dhana hii. Kwani hata tukisema tulazikishe mgombea wa urais chadema ashinda sawa na sera hii ya majimbo hatokuwa na nguvu kama katiba ya sasa inavyotoa mamlaka makubwa kwa rais.
Hivyo ni vema tukaungana kumpa Rais Samia kura za urais. Kwa kuwa ndilo jambo kubwa analolitakata. Tunhakikishie ili asiendelee kutumia mapesa kujifanyia kampeni.
Lkn tupeleke nguvu za ushawishi kwa watz wote. Kama serikali ya ccm ina wabunge wote, madiwani wote, wenyeviti wa serikali za mitaa wote. Lkn hakuna tofauti yyt waliyoyafanya. Ni vema basi tupeleke ushawishi huu kuwa tuwachague wabunge wote wa upinzani na hasa wabunge kutoka vyama vyenye sera ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
Hii ndio karata bora na nguvu inapohitajika ya propaganda na ushawishi kwa watz